#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

mkuu bado kisa cha ugomvi wa wazazi hawa hakijafahamika bado. coz wanaofahamu wamekufa na mwingine yupo mahututi.

dah! Nilikuwa sijapata picha ila saivi nimesikia mshkaji alikuwa hajaridhika na usuluhishi alioutoa mama mtu. Mshakaji akaona mama mtu anampendelea mwanawe. Ndiyo aka......
 
KakaKiiza sa hivi inabidi kuwa makin saana....yule kuna mengi yametokea aisee

na ukiwa kuke kajisacrifse kufa na kupona halafu bidada kamchezea shere...we

mtu alitaka kuwamaliza watu wote,,,hadi paka kashutiwa ujue hasira zake hazikuwaa kidogo hata
 
Last edited by a moderator:
Unahuakika??nyie mnatufanya sisi eko bank hii ndi yo out come!

Mimi hapa na mimi na msubiri bibie lara 1 najua atakujua na maneno yakupingana na kauli hizi za kusossomola wanaume maana nawao wameshtuka ukimsosomola kumbuka naye ana "MANATI YA KIZUNGU" Haikopeshi!

Ila kiiukweli jamaa yawezekana aliwekeza sana katuma dolari kila akipewa posho yake ya dollar 37000 kwa mwezi nje ya mshahara anatuma kwa Ufoo Saro na anatumiwa picha ya ghorofa katika Whatsapp jamaa kuona jengo limeisha akaanza kula bata sudani anajua mambo yapo poa ila sasa kurudi bongo hata msingi hauoni anaenda kwa mama mkwe wake kuomba busara mama mkwe anamwambia babue unao ushahidi kuwa ulituma pesa kwa mawanangu??kwanza mwanangu alishakwambia hakutaki iweje umng'ang'anie si hakutaki????wanawake wapo wangapi tafuta mwingine ....................unadhani utafanya nini na una "MANATI YA KIZUNGU"???Wanawake jiangalie wanaume wamechoka kufanywa Visa card!!
mi haya hayanihusu babu ...naishi kwa jasho langu mwanzo mwisho
 
KakaKiiza sa hivi inabidi kuwa makin saana....yule kuna mengi yametokea aisee

na ukiwa kuke kajisacrifse kufa na kupona halafu bidada kamchezea shere...we

mtu alitaka kuwamaliza watu wote,,,hadi paka kashutiwa ujue hasira zake hazikuwaa kidogo hata

Hata jiran angeshobokea hiyo inshu yy angemuwasha!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom