#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

Ha ha ha ha utakuwa umeokoa jahazi kishenzi ........na nshaanza kujifunza mbinu za kivita na nitanunua vitu vyenye ncha kali.Wao wakitoka darfur,me ntatoka somalia!!!!!

kama vipi twende syria tukachukue mabomu ya nyukilia. wakileta za kuleta tunawalipua tu
 
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................

Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe......

Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa simpendi kutoka moyoni,na jana jioni kanitumia pesa katika ule mtandao wa hakatwi mtu hapa na kuitoa sijaitoa.

Niliposikia yaliyomkuta bi dada mida ya asubuhi mbona hata hiyo pesa naiogopa hata kwenda kwa wakala kuitoa.......

Kwakweli wadada tuliangalie hili swala kwa umakini maana hata sielewi kabisaaaaa...... Heaven on earth, Madame B, Smile, Elli79, neggirl, Pacha wangu DEMBA sitaki nikuache IGWE, GreenCity mwekundu na wengineo wengi jamani hii ishakuwa fundisho kabisaaa maana naona kimeshanuka huko.

Ikiwezekana kubadilika na tubadilike maana mambo yamesharibika na kijiwe kishaingia balaaaaa
huo mtandao ni mzuri ila nauchukia kutona na jina lake tu
 
Hapo sawaaaaaaa!!!!basi acha niendeleee

Endelea sista.... ila si kumuomba pesa ya boda, eti lunch, sijui p.edi zimeisha.. nope! Kula pesa, akujengee nyumba... akununulie japo ki vitz! Then ukipata tatizo nitafute tupeane hifadhi..... teh!
 
miss strong ni kweli best wadada tubadilike.. hakuna vya bure na siku zote bure aghali. lakini pia .. ni fundisho kwa wote, katika mahusiano hakuna sababu ya kumuumiza mwenzio na wakati unafahamu fika hauna mpango nae, usimpotezee mwenzio muda.. kama humtaki bora umweleze ukweli hata kama unauma. mwisho kabisa hakuna formula ya haya masuala ni kumwomba Mungu atusaidie.
 
Last edited by a moderator:
I hope hapo you were not serious!

Mwenye uchungu na papuchi yake hawezi kuigeuza kitega uchumi wala kuiweka rehani besti.....hususani kwenye situation ambazo njia salama za kuweza kuepuka tatizo na kusecure hizo papuchi ziko wazi kabisa.

Tamaa mbaya jameni......MLA HULIWA besti!!! We humtaki mtu halafu unakula vya kwake ili iweje??? Makosa yana nafasi ya kutufunza ndugu zanguni tuacheni kushupaza shingo!

miss strong ni kweli best wadada tubadilike.. hakuna vya bure na siku zote bure aghali. lakini pia .. ni fundisho kwa wote, katika mahusiano hakuna sababu ya kumuumiza mwenzio na wakati unafahamu fika hauna mpango nae, usimpotezee mwenzio muda.. kama humtaki bora umweleze ukweli hata kama unauma. mwisho kabisa hakuna formula ya haya masuala ni kumwomba Mungu atusaidie.

Do such women still exist?
I like the way you guys think...
 
Last edited by a moderator:
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................

Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe......

Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa simpendi kutoka moyoni,na jana jioni kanitumia pesa katika ule mtandao wa hakatwi mtu hapa na kuitoa sijaitoa.

Niliposikia yaliyomkuta bi dada mida ya asubuhi mbona hata hiyo pesa naiogopa hata kwenda kwa wakala kuitoa.......

Kwakweli wadada tuliangalie hili swala kwa umakini maana hata sielewi kabisaaaaa...... Heaven on earth, Madame B, Smile, Elli79, neggirl, Pacha wangu DEMBA sitaki nikuache IGWE, GreenCity mwekundu na wengineo wengi jamani hii ishakuwa fundisho kabisaaa maana naona kimeshanuka huko.

Ikiwezekana kubadilika na tubadilike maana mambo yamesharibika na kijiwe kishaingia balaaaaa

Hiyo ni ajali kazini tu , hakuna ajuaye siku wala saa na mahali,,,,,,,,,,,,

maisha lazima yaendelee , msiogope sana mabinti.
 
Back
Top Bottom