#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

acha tusikilizie music,,,,, sa ivi kila mtu atajidai ana pisto!!!!

Teh teh......wakikosa pisto nahis sasa silaha za jadi zitahusika!!!!lol,wanataka kutukosesha amani tu hawama lolote......tuende kwa minyato shost
 
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................

Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe......

Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa simpendi kutoka moyoni,na jana jioni kanitumia pesa katika ule mtandao wa hakatwi mtu hapa na kuitoa sijaitoa.

Niliposikia yaliyomkuta bi dada mida ya asubuhi mbona hata hiyo pesa naiogopa hata kwenda kwa wakala kuitoa.......

Kwakweli wadada tuliangalie hili swala kwa umakini maana hata sielewi kabisaaaaa...... Heaven on earth, Madame B, Smile, Elli79, neggirl, Pacha wangu DEMBA sitaki nikuache IGWE, GreenCity mwekundu na wengineo wengi jamani hii ishakuwa fundisho kabisaaa maana naona kimeshanuka huko.

Ikiwezekana kubadilika na tubadilike maana mambo yamesharibika na kijiwe kishaingia balaaaaa

Shosti, hakuna hata cha kuogopa.
Watapata sifa bure.
Wewe huyo mchaga mlie pesa kama kawa, akikuzingua, kimbilia kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Shosti, hakuna hata cha kuogopa.
Watapata sifa bure.
Wewe huyo mchaga mlie pesa kama kawa, akikuzingua, kimbilia kwangu.

Ndo mpango....nakula mpk nakaribia kusema poooo,chezea madanga ya mjini!!!ila dada yeye pisto hana labda silaha za jadi,mshale ntaweza kukwepa kweli au nianze na mazoezi!!!
 
Mwenye masikio na asikie.
Watu wana uchungu na pesa zao bana!!

Ila dah . . . mama wa watu kasafirishwa ghafla bila hata kutubu masikini!!!
 
Nyote wawili wazanaki wanasema wote mang'anyang'a. Unafikiri utanigombanisha na mke wangu ubaki salama?. penda maisha yako. Heaven on earth anaweza akasababisha maisha yako yawe mafupi kama maisha ya funza. Sitaki mtu achezee mapenzi yangu wala amzoee mke wangu nmpendae heaven. Au nimwambie Jiwe Linaloishi akupige ban?. mia

Hahahah..........msubiri kwenye target um-Mushi shaba ya kidevu.
 
Last edited by a moderator:
Ndo mpango....nakula mpk nakaribia kusema poooo,chezea madanga ya mjini!!!ila dada yeye pisto hana labda silaha za jadi,mshale ntaweza kukwepa kweli au nianze na mazoezi!!!

Acha mchezo na ISRAEL Binti. Huyo hakwepeki hata uwe mjanja vipi ukiwa kwenye target lazima iku-Mushi tu.
 
Ndo mpango....nakula mpk nakaribia kusema poooo,chezea madanga ya mjini!!!ila dada yeye pisto hana labda silaha za jadi,mshale ntaweza kukwepa kweli au nianze na mazoezi!!!

Mdogo wangu hilo la mishale wala usijali.
Nitakupeleka sehemu ukacheze nayo.
Mie nawalia mwaka wa 8 huu, tangu nasoma.
Nishatekwa mie, nishashikiwa bastola mie, na kadhalika...lakini si unaona bado nadunda.
Hawa jinsia ya pili dawa yao ni kuwalia kwa fujo.
Wakijifanya jeuri, wewe jifanye jeuri zaidi yao.
 
Shosti, hakuna hata cha kuogopa.
Watapata sifa bure.
Wewe huyo mchaga mlie pesa kama kawa, akikuzingua, kimbilia kwangu.

Naona ushapona na jeuri yako iko juu. Kitendawiliii...............Pamparama mlango wa chuma ukifunguka hauna huruma...............
 
Ndo mpango....nakula mpk nakaribia kusema poooo,chezea madanga ya mjini!!!ila dada yeye pisto hana labda silaha za jadi,mshale ntaweza kukwepa kweli au nianze na mazoezi!!!

he hee hee pacha ntakupeleka kwa wachina ukajifunze kung fuu.
 
mh.....
..! Henry-Zeigland-bullet.png
 
Kwani ulitaka nife.
Ndo nshapona hvo...na nimekuja na ari mpya.
Hatuogopi bastola, tunaogopa mvua mjini hapa.

Hahahah........aya bana kama u mzima kheri. Sie kijijin mvua neema ila twaogopa Mungu na Njaa kwani hawana mbabe hao.
 
Na sisi tuna uchungu na papuchi zetu....

I hope hapo you were not serious!

Mwenye uchungu na papuchi yake hawezi kuigeuza kitega uchumi wala kuiweka rehani besti.....hususani kwenye situation ambazo njia salama za kuweza kuepuka tatizo na kusecure hizo papuchi ziko wazi kabisa.

Tamaa mbaya jameni......MLA HULIWA besti!!! We humtaki mtu halafu unakula vya kwake ili iweje??? Makosa yana nafasi ya kutufunza ndugu zanguni tuacheni kushupaza shingo!
 
Back
Top Bottom