#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................

Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe......

Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa simpendi kutoka moyoni,na jana jioni kanitumia pesa katika ule mtandao wa hakatwi mtu hapa na kuitoa sijaitoa.

Niliposikia yaliyomkuta bi dada mida ya asubuhi mbona hata hiyo pesa naiogopa hata kwenda kwa wakala kuitoa.......

Kwakweli wadada tuliangalie hili swala kwa umakini maana hata sielewi kabisaaaaa...... Heaven on earth, Madame B, Smile, Elli79, neggirl, Pacha wangu DEMBA sitaki nikuache IGWE, GreenCity mwekundu na wengineo wengi jamani hii ishakuwa fundisho kabisaaa maana naona kimeshanuka huko.

Ikiwezekana kubadilika na tubadilike maana mambo yamesharibika na kijiwe kishaingia balaaaaa
 
Last edited by a moderator:
We ngoja kesho tutaski mengi na ivi upele upo kwa mkunaji labda wafiche aibu yao lkn wakiandika habari kama za wananchi wengine tutapata somo.
 
ni kweli aisee yule kijana atakuwa katendwa pakubwa....

kupigwa risasi nje nje...hiyo pesa ikiwezekana irudishe tuy
 
Soma thread zako. Nilikupa ushauri kuhusu kulamba vya watu huku humtaki mwenye huo mkono wenye hiyo sukari. Jifunzeni sasa. Wewe hata uende wapi, kaza moyo tu dada, umpelekee mpaka akukatae. Ulisema amesha watangazia kila mtu kuwa weye ni something wake sasa usihangaike kuzichunia hizo zilizoingia, bali kataa wengine wote ujipeleke kwake na viatu
 
...Kuna dada katafuna hela zangu mingi sana, ila mzigo sijapewa mpaka keshokutwa, Mushi katangulia tu kufanya wazo langu!
 
  • Thanks
Reactions: LTK
mi sipo kwenye hicho kikosi mie...mi hata pipi sijawai kupewa
 
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................

Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe......

Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa simpendi kutoka moyoni,na jana jioni kanitumia pesa katika ule mtandao wa hakatwi mtu hapa na kuitoa sijaitoa.

Niliposikia yaliyomkuta bi dada mida ya asubuhi mbona hata hiyo pesa naiogopa hata kwenda kwa wakala kuitoa.......

Kwakweli wadada tuliangalie hili swala kwa umakini maana hata sielewi kabisaaaaa...... Heaven on earth, Madame B, Smile, Elli79, neggirl, Pacha wangu DEMBA sitaki nikuache IGWE, GreenCity mwekundu na wengineo wengi jamani hii ishakuwa fundisho kabisaaa maana naona kimeshanuka huko.

Ikiwezekana kubadilika na tubadilike maana mambo yamesharibika na kijiwe kishaingia balaaaaa

inasikitisha... kuna thread ya akina dada kuwa perceived kama ombaomba and opportunitic somewhere leo

it is a time to reflect on "friends with benefit" tag and see how to manage it properly
 
Kuna mdada mmoja yupo dom namfuata maana nackia keshasaliti na hapa ndo kazama chaka mazima..ntampa kubwa hadi washindwe kumtambua oooohooooo!
 
watafuna besa ya kwa ngekukaba kyandu cha tulu tushuuu!!!!!! halafu kuna mjinga mmoja katafuna hela yangu weee et leo ananiambia niseme ni shs ngapi anirudishie...namvutia speed tu msichana atajuta. :director:
 
Back
Top Bottom