#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

Kwa taarifa yako ukimwambia humpendi tu, unaenda kumsalimu UFO SARO. Maadam ulimkubali mwanzo endelea nae tu kiugumu mpaka kifo kitakapowatenganisha.
 
baby kwani wewe unamiliki mguu wa kuku sijui ndio bastola?coz ninaogopa yaliyompata ufoo yaweza mkuta yeyote yule.

Yes, naimiliki ila naitumia wisely pale inapobidi tu
 
Kwa taarifa yako ukimwambia humpendi tu, unaenda kumsalimu UFO SARO. Maadam ulimkubali mwanzo endelea nae tu kiugumu mpaka kifo kitakapowatenganisha.

Kifo kinitenganishe hata bila kumkubal ni poa!!!
 
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................

Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini wanafahamu wenyewe......

Kuna kipindi nilileta thread hapa juu ya yule mchaga anayenihudumia ingawa simpendi kutoka moyoni,na jana jioni kanitumia pesa katika ule mtandao wa hakatwi mtu hapa na kuitoa sijaitoa.

Niliposikia yaliyomkuta bi dada mida ya asubuhi mbona hata hiyo pesa naiogopa hata kwenda kwa wakala kuitoa.......

Kwakweli wadada tuliangalie hili swala kwa umakini maana hata sielewi kabisaaaaa...... Heaven on earth, Madame B, Smile, Elli79, neggirl, Pacha wangu DEMBA sitaki nikuache IGWE, GreenCity mwekundu na wengineo wengi jamani hii ishakuwa fundisho kabisaaa maana naona kimeshanuka huko.

Ikiwezekana kubadilika na tubadilike maana mambo yamesharibika na kijiwe kishaingia balaaaaa

Roho yake ya kimasikini na mbaya huyo Mushi......mbona vitu vya kawaida sana hivyo....tena kwa mwanamke uliyezaa nae......watu wanarushwa zaidi ya hivyo ......mbona ni ufahari kurushwa na demu....tehehtehe...... Mushi atakua mpumbafu sana. I will never take my life au some one life kisa pesa au mwanamke. Na wasiwasi atakua alikua kalewa au Malaria ilimpanda kichwani.
 
Natengeneza mbinu ntakayokuja nayo....pesa yako tamu


Jitahidi tuu..... !! Ila "Vischana" vinaudhi saana sometimes.... Watu tunachapa usingizi wa mang'amung'amu tunaangaika kuzitafuta nyie mnazitaka kiulaini tuu..... Asee bora hata mushi alijeruhi ... Mi skosei..... Ni mulemuleeee!.

Aseeeeeh!...!

Basi vyenyewe vibahiriiiiiii !... Aaaaarghh
 
Back
Top Bottom