#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

Kumbe ukizinguliwa tu ,unadeal na uhai wa mtu dah majanga haya
nataka nimiliki mabomu kabisa sasa
 
Lol... Team cash money you are victim

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

only for this week!!!! hapa buzi langu limetuma mifuko 20 ya cement na msg " umesikia ya ufoo salo kuwa makini"
kijasho kimenitoka mie sijui nijifanye kuiludisha lol !!!!!!!
 
Uirudishe ya nini????mimi pia nilianzaa kuogopa lakin nimeona hakuna kuogopa.Kama huitaki hiyo cement nipe mimi lol!!!!!
 
only for this week!!!! hapa buzi langu limetuma mifuko 20 ya cement na msg " umesikia ya ufoo salo kuwa makini"
kijasho kimenitoka mie sijui nijifanye kuiludisha lol !!!!!!!

hahahaaa........! Hawa akina ufoo na mwenzie wamesha aribu dili aisee...... Sasahivi vidume watapata kichwa!
 
I hope hapo you were not serious!

Mwenye uchungu na papuchi yake hawezi kuigeuza kitega uchumi wala kuiweka rehani besti.....hususani kwenye situation ambazo njia salama za kuweza kuepuka tatizo na kusecure hizo papuchi ziko wazi kabisa.

Tamaa mbaya jameni......MLA HULIWA besti!!! We humtaki mtu halafu unakula vya kwake ili iweje??? Makosa yana nafasi ya kutufunza ndugu zanguni tuacheni kushupaza shingo!
You are wife material......well said!!
 
...Kuna dada katafuna hela zangu mingi sana, ila mzigo sijapewa mpaka keshokutwa, Mushi katangulia tu kufanya wazo langu!

Huo ugomvi wa kwenda kusuluhishwa kwa mama mkwe sio wa aina hiyo! Tutajua baadae kilichojiri kwani aliyepona atatusimulia na kwa hali ilivyo sidhani kama ataficha kitu!
 
Dada angu kumbe na yeye yangemkuta baada ya meja kutoka darfur na kukuta pesa imeliwa pasipo maelezo ya kueleweka. Thank Mungu jamaa alitaka arudishiwe pesa yake tu na ugomvi ukaisha. Huyu si mzazi mwenzie, wanandoa na watoto wawili.
 
I hope hapo you were not serious!

Mwenye uchungu na papuchi yake hawezi kuigeuza kitega uchumi wala kuiweka rehani besti.....hususani kwenye situation ambazo njia salama za kuweza kuepuka tatizo na kusecure hizo papuchi ziko wazi kabisa.

Tamaa mbaya jameni......MLA HULIWA besti!!! We humtaki mtu halafu unakula vya kwake ili iweje??? Makosa yana nafasi ya kutufunza ndugu zanguni tuacheni kushupaza shingo!

well said !! Una like yako moja !!
 
@ team cash money siirudishi ngo bora nife kishujaa kama mama ufoo iseee!!!!

Habari ndo hiyo........pesa inakwenda kwa mwenye mvuto wa pesa.Nadhani tulioshewa mpesa pesa acha watu walee kifo kipo,jana niliogopa lakin leo nimeamka na mbinu mpya!!!!
 
Umesema vizuri TAMAA MBAYA SANA.

Back
Top Bottom