#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

#kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

Nikiona tu "igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee" najua ndo yeye!
nakusubiri lara1 utoe comments zako zilizosheheni mifano na kujawa na miguno!
 
yaani pacha miss strong we acha tu. kinachosikitisha zaidi ni maisha ya mama wa watu yamekatishwa bila huruma. BTW pacha hiyo hela naomba basi unitumiepo japo ka elfu ka vocha.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
dah! yaani mimi najinyima nakutumia hela kwenye hakatwi mtu hapa kumbe hunitaki....!!! tena unanitangazia had jf!
sasa subiri nakuvizia nikikupata tu twaaaaaaa!!!
na picha yako ninayo!
 
yaani pacha miss strong we acha tu. kinachosikitisha zaidi ni maisha ya mama wa watu yamekatishwa bila huruma. BTW pacha hiyo hela naomba basi unitumiepo japo ka elfu ka vocha.

Ntakupa pacha wangu ingawa mkwaju ntapigwa mwenyewe lol!!!!@Kaizer hajambo???
 
Last edited by a moderator:
dah! yaani mimi najinyima nakutumia hela kwenye hakatwi mtu hapa kumbe hunitaki....!!! tena unanitangazia had jf!
sasa subiri nakuvizia nikikupata tu twaaaaaaa!!!
na picha yako ninayo!

Natengeneza mbinu ntakayokuja nayo....pesa yako tamu
 
mi sipo kwenye hicho kikosi mie...mi hata pipi sijawai kupewa
Unahuakika??nyie mnatufanya sisi eko bank hii ndi yo out come!

Nikiona tu "igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee" najua ndo yeye!
nakusubiri lara1 utoe comments zako zilizosheheni mifano na kujawa na miguno!
Mimi hapa na mimi na msubiri bibie lara 1 najua atakujua na maneno yakupingana na kauli hizi za kusossomola wanaume maana nawao wameshtuka ukimsosomola kumbuka naye ana "MANATI YA KIZUNGU" Haikopeshi!

sasa leo kila mtu atajifanya anataka kufanya ya Mushi...

jamani yale ni maaamuzi mazito sana...
Ila kiiukweli jamaa yawezekana aliwekeza sana katuma dolari kila akipewa posho yake ya dollar 37000 kwa mwezi nje ya mshahara anatuma kwa Ufoo Saro na anatumiwa picha ya ghorofa katika Whatsapp jamaa kuona jengo limeisha akaanza kula bata sudani anajua mambo yapo poa ila sasa kurudi bongo hata msingi hauoni anaenda kwa mama mkwe wake kuomba busara mama mkwe anamwambia babue unao ushahidi kuwa ulituma pesa kwa mawanangu??kwanza mwanangu alishakwambia hakutaki iweje umng'ang'anie si hakutaki????wanawake wapo wangapi tafuta mwingine ....................unadhani utafanya nini na una "MANATI YA KIZUNGU"???Wanawake jiangalie wanaume wamechoka kufanywa Visa card!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom