Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,848
mi sipo kwenye hicho kikosi mie...mi hata pipi sijawai kupewa
Hata mimi ki ukweli huko sipo kabisaa..!
mi sipo kwenye hicho kikosi mie...mi hata pipi sijawai kupewa
Lol... Team cash money you are victimkwa wiki hii nipunguze mizinga mie!!!!!
....smile tafuta za kwako bana...fanya bidii ktk maisha jijengee kujitegemea na kujiaminimi sipo kwenye hicho kikosi mie...mi hata pipi sijawai kupewa
hii ndo dawa yao ......kama huna uwezo wa kumiliki manati ya mzungu chini ya mto we weka tu galoni lako la tindikali la lita tano chini ya kitanda akizingua tu mwili mzima .......
he hee hee pacha ntakupeleka kwa wachina ukajifunze kung fuu.
Aisee niko Tanga nakosa ya mujini huko ila wakati nakuja karibu na kibaha mizani nilinusa harufu ya hatari kulikua na defender(ile iliyoonyeshwa kwa tv) kwa umbea wangu nilichungulia mule ndani nikaona maiti ambulance ya tumbi mbele na private car kwa nyuma
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hata mimi ki ukweli huko sipo kabisaa..!
Mi mwenyewe kuna mdada ananivuruga akili humu ndani. Anaweza nisababishia umauti wa gafla sababu kila jogoo anataka liwe lake wala hanitunzii heshima.
cc: Baba V Lady doctor Heaven on earth Slave. Vin Diesel. Mia
Bora wajidai wana pisto kulikua wakuvizie na pisto wakutoe roho. Mia
Na mimi i hope ujumbe umefika.
Cc; Lady doctor. Mia
mbona umekuwaa mkali hivo jamani...ni ya Mushi na ufoo au kuna mengine tena mume wangu
Message sent but not delivered
Na sisi tuna uchungu na papuchi zetu....
Mi mwenyewe kuna mdada ananivuruga akili humu ndani. Anaweza nisababishia umauti wa gafla sababu kila jogoo anataka liwe lake wala hanitunzii heshima.
cc: Baba V Lady doctor Heaven on earth Slave. Vin Diesel. Mia
Na sisi tuna uchungu na papuchi zetu....
Hahahahaaa.. mara hii na mara hii.. ila mapenzi yana run dunia aisee. miss strong olewa tu mambo yaishe..
mhhh Miss strong ukila vya wenzio kubali kuliwa bana
Akuuuuu.....atanisamehe tu kwa kweli simpendi (hanivutii)....na aniue tu na yeye atakufa.Maana sikumtuma anipe hizo senti zake!
Bado unazitafuna tu! Ujue za wachagga haziendi bure... seriously miss strong, hawa watu wana maamuzi magumu! Tafuna ila kuwa makini pia..