Kikosi cha JF Simba kitakachoipa kichapo kitakatifu kikosi cha JF Yanga

Mkuu umeniacha wapi
QUOTE]Simba ina kikosi kipana,muda mchache kitatoka jf Simba international players kikosi kitakacho cheza mechi za kimataifa,kuna uratibu wa kucheza mechi ya kimataifa kati ya jf Simba kimataifa na jf east Afican forums.
Nafasi ya kiungo mshambuliaji jf Simba east Africa itakuhusu.
 
Utampatia acount number yako ya bank kiongozi wa kamati ya ushindi Mshana Jr .
Kwa udhamini wangu nina bonus kama zote
Screenshot_20210915-214104.jpg
 
Namba 10 bila kuwepo mwenyewe hapo hakuna ushindi!!
Wewe utaingia sub kipindi cha pili,inasemekana una injury za kutosha mechi moja uwanjani nyingine gereji kama Shaban Djuma wa Yanga
 
Huyu Mightier ungempa kitengo cha Habari au Uhamasishaji, maana si kwa mdomo huo
Kitengo cha Habari wala hakimfai. Huwa anatoa sana siri za ndani. Awe kocha tu.

Nakumbuka tulipocheza na Kaizer aliwahi kufichua siri za ndani kuwa Mganga kasema ili tutinge Nusu fainali ni lazima tumtoe 'Haji au CEO'. (Wote walikataa), kwa bahati mbaya Haji alifiwa na Bibi yake na tukaishia kupata magoli matatu tu
 
Back
Top Bottom