Kikosi cha JF Simba kitakachoipa kichapo kitakatifu kikosi cha JF Yanga

busha

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,691
2,000
Magoli kipa.
Kalpana Nyamizi BRN

Walinzi wa kushoto.
mugah di matheo Van De Beek ChamasonMorisonBwalyason

Walinzi wa kulia.
PTER Luvanga1 Kingtox

Walinzi wa kati.
Viol Kifurukutu Poisonous OKW BOBAN SUNZU

Viungo wa chini.
SAGAI GALGANO Chen Hu denooJ

Mawinga wa kushoto.
@Kyalembe Rostema

Mawinga wa kulia.
Saint Ivuga NAWATAFUNA

Washambuliaji.
FORTALEZA Scars Utopologist Ghazwat

Kocha mkuu
Mightier , msaidizi wake Lee

Kiongozi wa kamati ya ushindi husda na roho mbaya ni Mshana Jr akisaidiwa na Mwizukulu jilala

Shusha maoni yako mfumo upi utaendana na hiki kikosi 4-4-2, 4-5-1 au mfumo upi?.
Shusha maoni yako nani aanze nani abaki kwenye kikosi?
Vipi benchi la ufundi liongezwe nguvu au tulipe muda wa matazamio?
Mchezaji yupi mwengine anafaa kuongeza nguvu kwenye hiki kikosi?
Nawasilisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom