Yanga lazima tukubali kujifunza kwa Simba kama tunataka kufanya vizuri kimataifa

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,802
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90, USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo wa kupasiana,speed,ubunifu vyote vilikuwa Superb!

Yanga ina wachezaji bora ila nadhani ni kwa ligi ya ndani. Linapokuja suala la mashindano ya kimataifa km Champions leage" na "Confederation" lazima uwe na wachezaji wenye kariba na viwango vya kina Morrison, Sahko, Bwalya, Banda Shabalala, Kapombe na Onyango, hasa hapo kwa viungo washambuliaji. Simba inaviungo fulani hivi wenye uwezo binafsi na wanaojua sana kutembeza msako kwenye mechi ngumu zenye presha na zinazohitaji matokeo. Yanga wana viungo wazuri lakini wanacheza ki "Father" hasa Bangala na Aucho, ambapo kwa mechi ngumu iliyochafuka na inayohitaji kujituma na kujitoa kwa zaidi ya asilimia 100 itakuwa ngumu sana kwa Yanga kupata matokeo.

Hivyo kwa maoni yangu na kwa ujumla,Yanga wanatakiwa waboreshe maeneo yafuatayo:-

1. Kutafta beki bora na mzoefu wa kushoto. Hadi sasa Yanga haina beki wa kushoto mwenye viwango vya kimataifa. Faridi ni kama deiwaka tu si wa kumtegemea moja kwa moja.

2. Waongeze Beki wa kati wa kusaidiana na Mwamnyeto kwani kimo cha Job ni tatizo hasa kwa mechi za kimataifa.

3. Kuongeza Mawinga mafundi wa pembeni hasa kulia. Bado nina mashaka na uwezo wa Moloko na Ushindi. Nkane ana vitu vingi vya kuendelea kujifunza.

4. Kusajili namba 10 wa viwango vya Chama.Mfano yule Aziz Ki wa Asec.Naheshimu uwezo wa kina Fei,Ntibazonkiza na Sureboy. Lakini Sureboy umri umeenda,Ntibazonkiza nae umri, Yakuba sina hakika na utimamu wake kutokana na majeruhi ya muda mrefu. Feitoto katumika sana na majeruhi yameanza kumwandama.

5. Kuongeza mshambuliaji mmoja wa kumsaidia Mayele.

6. Eneo la kiungo mkabaji wamuongeze Aziz Andambwile kuziba pengo la Mukoko ili endapo Aucho au Bangala hawako sawa asaidie.

7.Waachane na baadhi ya wachezaji kama Kaseke, Yusuf, Ninja, Johora na kama ikibidi Makambo na Ushindi nao watupishe sioni km watatusaidia.

NB: Ili kufanya vizuri katika mashindano makubwa lazima uwe na kikosi kipana kilichosheheni wachezaji bora waliotayari kucheza na kushinda km ilivyo kwa Simba. Angalia wanashinga goli 4:0 Kagere na Boko wakiwa benchi. Hii ni balaa!

Maendeleo hayana vyama. Hongera sana mtani umeendelea kuonyesha njia kimataifa.

Nawasilisha.
 
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90 USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo wa kupasiana,speed,ubunifu vyote vilikuwa Superb!

Yanga pamoja na kuwa na wachezaji bora kwa ligi ya ndani ila linapokuja swala la mashindano ya kimataifa hasa Champions leage" na "Confederation" lazima iwe na wachezaji wenye kariba na viwango vya kina Morrison,Sahko,Bwalya, Banda Shabalala,Kapombe na Onyango,hasa hapo kwa viuongo washambuliaji. Simba inaviungo fulani hivi wenye uwezo binafsi na wanaojua sana kutembeza msako hasa kwa mechi ngumu zenye presha na zinazohitaji matokeo. Yanga wana viungo wazuri lakini wanacheza ki "Father" hasa Bangala na Aucho, ambapo kwa mechi ngumu iliyochafuka na inayohitaji kujituma na kujitoa kwa zaidi ya asilimia 100 itakuwa ngumu sana kwa Yanga kupata matokeo.

Hivyo kwa maoni yangu na kwa ujumla,Yanga wanatakiwa waboreshe maeneo yafuatayo:-

1. Kutafta beki bora na mzoefu wa kushoto. Hadi sasa Yanga haina beki wa kushoto mwenye viwango vya kimataifa. Faridi ni km deiwaka tu si wa kumtegemea moja kwa moja.

2. Waongeze Beki wa kati wa kusaidiana na Mwamnyeto kwani kimo cha Job ni tatizo hasa kwa mechi za kimataifa.

3. Kuongeza Mawinga mafundi wa pembeni hasa kulia.Bado nina mashaka na uwezo wa Moloko na Ushindi.Nkane ana vitu vingi vya kuendelea kujifunza.

4. Kusajili namba 10 wa viwango vya Chama.Naheshimu uwezo wa kina Fei na Sureboy. Lakini Sureboy umri umeenda,Ntibazonkiza nae umri, Yakuba sina hakika na utimamu wake kutokana na majeruhi ya muda mrefu. Feitoto katumika sana na majeruhi yameanza kumwandama.

5. Kuongeza mshambuliaji mmoja wa kumsaidia Mayele.

6. Eneo la kiungo mkabaji wamuongeze Aziz Andambwile kuziba pengo la Mukoko hasa endapo Aucho au Bangala wakiwa hawako sawa.

6. Waachane na baadhi ya wachezaji km Kaseke, Yusuf, Ninja, Johora na km ikibidi Makambo na Ushindi nao watupishe sioni km watatusaidia.

Nb: Ili kufanya vizuri katika mashindano makubwa lazima uwe na kikosi kipana kilichosheheni wachezaji bora waliotayari kucheza na kushinda km ilivyo kwa Simba. Angalia wanashinga goli 4:0 Kagere na Boko wakiwa benchi. Hii ni balaa!

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Karibuniiiii sanaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Safi kabisa kwani maendeleo hayana chama
 
Ushindi ni bonge la mchezaji,anahitaji muda kujiunga na wenzie,kuwazoea ili awe ndani ya mchezo,yacooba ni umri pia,sureboy,saido pia umri,muhimu ni kuelewa kuwa oamoja kuopenda timu na tunataka sana ishinde hatuwezi kumpangia kocha asajili nani,yupi au mwenye uwezo upi,sisi tuishie kushangilia na kutoa muchango,tuwaachie makocha wafanye kazi yao
 
Nimeangalia vizuri sana mechi ya Simba akimlarua USGN 4:0. Kusema ukweli Simba waliupiga. Dk zote 90 USGN walikimbizwa mchaka mchaka bila kupumzika. Ubora wa kila mchezaji ulikuwa juu mno,uwezo wa kupasiana,speed,ubunifu vyote vilikuwa Superb!

Yanga pamoja na kuwa na wachezaji bora kwa ligi ya ndani ila linapokuja swala la mashindano ya kimataifa hasa Champions leage" na "Confederation" lazima iwe na wachezaji wenye kariba na viwango vya kina Morrison, Sahko, Bwalya, Banda Shabalala, Kapombe na Onyango, hasa hapo kwa viuongo washambuliaji. Simba inaviungo fulani hivi wenye uwezo binafsi na wanaojua sana kutembeza msako hasa kwa mechi ngumu zenye presha na zinazohitaji matokeo. Yanga wana viungo wazuri lakini wanacheza ki "Father" hasa Bangala na Aucho, ambapo kwa mechi ngumu iliyochafuka na inayohitaji kujituma na kujitoa kwa zaidi ya asilimia 100 itakuwa ngumu sana kwa Yanga kupata matokeo.

Hivyo kwa maoni yangu na kwa ujumla,Yanga wanatakiwa waboreshe maeneo yafuatayo:-

1. Kutafta beki bora na mzoefu wa kushoto. Hadi sasa Yanga haina beki wa kushoto mwenye viwango vya kimataifa. Faridi ni kama deiwaka tu si wa kumtegemea moja kwa moja.

2. Waongeze Beki wa kati wa kusaidiana na Mwamnyeto kwani kimo cha Job ni tatizo hasa kwa mechi za kimataifa.

3. Kuongeza Mawinga mafundi wa pembeni hasa kulia. Bado nina mashaka na uwezo wa Moloko na Ushindi. Nkane ana vitu vingi vya kuendelea kujifunza.

4. Kusajili namba 10 wa viwango vya Chama.Naheshimu uwezo wa kina Fei na Sureboy. Lakini Sureboy umri umeenda,Ntibazonkiza nae umri, Yakuba sina hakika na utimamu wake kutokana na majeruhi ya muda mrefu. Feitoto katumika sana na majeruhi yameanza kumwandama.

5. Kuongeza mshambuliaji mmoja wa kumsaidia Mayele.

6. Eneo la kiungo mkabaji wamuongeze Aziz Andambwile kuziba pengo la Mukoko hasa endapo Aucho au Bangala wakiwa hawako sawa.

6. Waachane na baadhi ya wachezaji kama Kaseke, Yusuf, Ninja, Johora na kama ikibidi Makambo na Ushindi nao watupishe sioni km watatusaidia.

NB: Ili kufanya vizuri katika mashindano makubwa lazima uwe na kikosi kipana kilichosheheni wachezaji bora waliotayari kucheza na kushinda km ilivyo kwa Simba. Angalia wanashinga goli 4:0 Kagere na Boko wakiwa benchi. Hii ni balaa!

Maendeleo hayana vyama. Hongera sana mtani umeendelea kuonyesha njia kimataifa.

Nawasilisha.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Wewe ni shabiki halisi wa Yanga. Kila ulicho kiandika kina ukweli. Naamini Viongozi kama wapo humu, basi watafanyia kazi.

Lakini pia nichukue nafasi hii kuwapongeza watani wetu Simba kwa kufuzu robo fainali Kombe la Shirikisho. Naamini utani tulio watania, umechangia kwa sehemu yake kwenye mapambano yao.

Na wajitahidi wafike nusu fainali sasa! Siyo kuvimba tu kichwa. Ushindi wa jana umeshapita. Hivyo wajipange kwa hatua inayo fuata.

Na sisi Yanga Insha Allah msimu ujao hatutaishia tena hatua ya awali.
 
ujifunze nini kuroga timu pinzani ili uwe unatamba kwa mkapa atoki mtu
 
kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi na Simba fans napokea pongezi zako
 
Wewe ni shabiki halisi wa Yanga. Kila ulicho kiandika kina ukweli. Naamini Viongozi kama wapo humu, basi watafanyia kazi.

Lakini pia nichukue nafasi hii kuwapongeza watani wetu Simba kwa kufuzu robo fainali Kombe la Shirikisho. Naamini utani tulio watania, umechangia kwa sehemu yake kwenye mapambano yao.

Na wajitahidi wafike nusu fainali sasa! Siyo kuvimba tu kichwa. Ushindi wa jana umeshapita. Hivyo wajipange kwa hatua inayo fuata.

Na sisi Yanga Insha Allah msimu ujao hatutaishia tena hatua ya awali.
Safi Sana baba mkubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom