Kwa kikosi hiki, Yanga anasonga makundi

Kanal Hilal

Member
Feb 4, 2017
62
121
Mwisho mwa wiki iliyopita Yanga SC walitoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye dimba la Mkapa. Matokeo hayo yameibua maneno mengi sana mitandaoni ikionekana kama vile Yanga SC ameshatolewa katika kinyang'anyiro hicho cha Klabu Bingwa Afrika kuelelekea hatua ya makundi.

Ukiangalia ile mechi KIUFUNDI ZAIDI, utagundua kuwa ni Yanga wao wenyewe ndio walishindwa kuimaliza mechi. Makosa makubwa yakiwa katika kikosi na mfumo.

Katika mchezo ujao, kocha Nabi anapaswa kuheshima kikosi kilichompa ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu uliopita 2021/22 ambacho kilifunga magoli 49, kufungwa magoli 8 tu, na kumaliza ligi Unbeaten. Hicho ndio kikosi kinachopaswa kuanza kwenye mchezo ujao, kwani asilimia kubwa ya wachezaji wapo kikosini na wana elewana vema uwanjani.

Kwenye dimba la kati hucheza viungo wawili wakabaji wenye majukumu tofauti. Bangala hucheza kama Defensive Midfielder, na Aucho hucheza kama Box to Box Midfilder.

Bangala anapocheza kama kiungo mkabaji timu hu relax, pmajukumu yote ya kukaba na kupokonya mpira hubaki kwake, timu ikishambuliwa hubaki nyuma kuungana na Central Defenders wawili na kufanya timu kuwa katika shape ya 3-4-3.

Aucho ni mzuri sana kwenye penetration pass. Anapocheza kama box to box midfilder, pasi zake za mwisho kuelekea mbele huleta madhara kwa timu pinzani.

Kwenye attacking midfilder, Feisal Salum na Aziz Ki hawapaswi kuanza pamoja. Kwanza, ni matumizi mabaya ya silaha. Pili, kunawanyima nafasi ya kujiachia zaidi kwenye dimba la kati. Kila mmoja huingilia majukumu ya mwenzie. Kutokana na uzoefu kikosini, Nabi anaweza kuanza na Feisal ili kupata combination nzuri kati yake na Mayele. Aziz Ki ni fantastic player hivyo akianzia sub kutampa nafasi nzuri ya kusoma mchezo na baadae akatumika kama game changer.

Beki wa kushoto aanze Lomalisa. Kibwana anakuja kwa kasi kwenye eneo la beki wa kulia na kushoto, lakini uzoefu wa Lomalisa kwenye michuano ya kimataifa kunampa credit zaidi ya kuanza kwenye kikosi. Kibwana ni mzuri kukaba, lakini sio mzuri kwenye kupiga krosi kutokana na mguu anaotumia (wa kulia) ukilinganisha na Lomalisa ambaye ni beki halisi wa kushoto na anatumia mguu wa kushoto. Hayupo vizuri kwenye kukaba, lakini sio tatizo unapokuwa na kiungo mkabaji halisi kama Bangala.

Yanga SC wakicheza katika mfumo wa 4-3-3 ambapo golini akae Diara, Mabeki ni Djuma, Nondo, Job na Lomalisa, wakati viungo ni Bangala, Aucho, na Feisal, huku mbele kabisa kukiwa na Farid, Mayele na Morisson. Kwa kikosi hicho Al Hilal watakuwa na wakati na mgumu kuwazuia kupata matokeo. Hapo nje kwenye "Sub" kuna Aziz Ki, Moloko, Tuisila, Kibwana, Makambo, Mauya, Gael, Sure Boy nk.
IMG_20221013_131433.jpg
 
utopolo on freak again mjiandae tu na kugombea nafasi ya makundi shirikisho na msilogwe mkutane na vipers,na de agosto
 
Endeleen kuweweseka tu,hakika mwendo mmeumaliza
Mwisho mwa wiki iliyopita Yanga SC walitoka suluhu ya 1-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye dimba la Mkapa. Matokeo hayo yameibua maneno mengi sana mitandaoni ikionekana kama vile Yanga SC ameshatolewa katika kinyang'anyiro hicho cha Klabu Bingwa Afrika kuelelekea hatua ya makundi.

Ukiangalia ile mechi KIUFUNDI ZAIDI, utagundua kuwa ni Yanga wao wenyewe ndio walishindwa kuimaliza mechi. Makosa makubwa yakiwa katika kikosi na mfumo.

Katika mchezo ujao, kocha Nabi anapaswa kuheshima kikosi kilichompa ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu uliopita 2021/22 ambacho kilifunga magoli 49, kufungwa magoli 8 tu, na kumaliza ligi Unbeaten. Hicho ndio kikosi kinachopaswa kuanza kwenye mchezo ujao, kwani asilimia kubwa ya wachezaji wapo kikosini na wana elewana vema uwanjani.

Kwenye dimba la kati hucheza viungo wawili wakabaji wenye majukumu tofauti. Bangala hucheza kama Defensive Midfielder, na Aucho hucheza kama Box to Box Midfilder.

Bangala anapocheza kama kiungo mkabaji timu hu relax, pmajukumu yote ya kukaba na kupokonya mpira hubaki kwake, timu ikishambuliwa hubaki nyuma kuungana na Central Defenders wawili na kufanya timu kuwa katika shape ya 3-4-3.

Aucho ni mzuri sana kwenye penetration pass. Anapocheza kama box to box midfilder, pasi zake za mwisho kuelekea mbele huleta madhara kwa timu pinzani.

Kwenye attacking midfilder, Feisal Salum na Aziz Ki hawapaswi kuanza pamoja. Kwanza, ni matumizi mabaya ya silaha. Pili, kunawanyima nafasi ya kujiachia zaidi kwenye dimba la kati. Kila mmoja huingilia majukumu ya mwenzie. Kutokana na uzoefu kikosini, Nabi anaweza kuanza na Feisal ili kupata combination nzuri kati yake na Mayele. Aziz Ki ni fantastic player hivyo akianzia sub kutampa nafasi nzuri ya kusoma mchezo na baadae akatumika kama game changer.

Beki wa kushoto aanze Lomalisa. Kibwana anakuja kwa kasi kwenye eneo la beki wa kulia na kushoto, lakini uzoefu wa Lomalisa kwenye michuano ya kimataifa kunampa credit zaidi ya kuanza kwenye kikosi. Kibwana ni mzuri kukaba, lakini sio mzuri kwenye kupiga krosi kutokana na mguu anaotumia (wa kulia) ukilinganisha na Lomalisa ambaye ni beki halisi wa kushoto na anatumia mguu wa kushoto. Hayupo vizuri kwenye kukaba, lakini sio tatizo unapokuwa na kiungo mkabaji halisi kama Bangala.

Yanga SC wakicheza katika mfumo wa 4-3-3 ambapo golini akae Diara, Mabeki ni Djuma, Nondo, Job na Lomalisa, wakati viungo ni Bangala, Aucho, na Feisal, huku mbele kabisa kukiwa na Farid, Mayele na Morisson. Kwa kikosi hicho Al Hilal watakuwa na wakati na mgumu kuwazuia kupata matokeo. Hapo nje kwenye "Sub" kuna Aziz Ki, Moloko, Tuisila, Kibwana, Makambo, Mauya, Gael, Sure Boy nk.View attachment 2386194
 
Job,Mwamnyeto,Lomalisa,Kibwana hao wote ni uchochoro,tena uchochoro mpana sana kwa washambuliaji wa Al hilal kupita.
 
Hata mimi nitafarijika kuona Bangala anacheza kama kiungo mkabaji, badala ya beki! Mwamnyeto ana mapungufu wakati fulani, ila ndiyo hivyo tena! Hakuna mbadala kwa sasa.

Kwangu mimi Kocha Nabi apange kikosi hiki hapa;
1. Diarra
2. Juma Shabani
3. Lomalisa
4. Dickson Job
5.Mwamnyeto
6. Yannick Bangala
7. Aziz Kii/Tuisila Kisinda
8. Khalid Aucho/Sure Boy
9. Fiston Mayele
10. Fei Toto
11. Bernard Morrison/Farid Musa.

Kwa kikosi hiki, ushindi haukwepeki.
 
Back
Top Bottom