Kikosi cha JF Simba kitakachoipa kichapo kitakatifu kikosi cha JF Yanga

Naomba kitengo cha kit manager kwenye hiyo mechi tafadhari
Bila shaka inakufaa.
Hafisa habari wa club ni miongoni mwa nafasi chache zilizobaki kwenye timu.
tunajaribu kupitia majina machache ya wadau ili kuziba nafasi iyo.
 
Bila shaka inakufaa.
Hafisa habari wa club ni miongoni mwa nafasi chache zilizobaki kwenye timu.
tunajaribu kupitia majina machache ya wadau ili kuziba nafasi iyo.
Asee naweza kuwa nimekaimu kwa muda kitengo cha afisa habari kipindi uongozi unatafuta mtu wa kujaza hiyo nafasi
 
Asee naweza kuwa nimekaimu kwa muda kitengo cha afisa habari kipindi uongozi unatafuta mtu wa kujaza hiyo nafasi
Toa ahadi kwanza kama yule jamaa alivyoenda utopolo aliwaahidi ubingwa wa mara 28,je'na wewe utatupa ushindi?
 
Toa ahadi kwanza kama yule jamaa alivyoenda utopolo aliwaahidi ubingwa wa mara 28,je'na wewe utatupa ushindi?
Nipende kusema kuwa nkipata hiyo nafasi ni kuhakikisha mashabiki wa uto hapa JF hawatambi kwa kipindi cha miaka saba kingine ni kuwa kila game tutayo cheza ushindi itakuwa lazima hapa hatutakuwa na slogan nyepesi kama za Dar to Lagos ila zitakuwa slogan za kibabe tu mpaka ushindi utapatikana
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom