Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 776
- 1,599
Naomba kitengo cha kit manager kwenye hiyo mechi tafadhali
Kama timu mmepigwa.Swala jezi lipo chini ya muwekezaji wa timu bwana mkubwa Bujibuji a.k.a Mo wa Simba jf.
Tulieni kikubwa mlete timu uwanjani msije kususa hii mechi haitakuwa na kanuni nyingikama timu mmepigwa.
Yani ukitaka kucheka wakati wa mechi ya Yanga njoo JF alafu search post au comments by OKW BOBAN SUNZU au NAWATAFUNA uone vituko. Huwa wanainanga Yanga kama hujui mpira unaweza dhani ni timu ya kijiweniAngekosekana OKW BOBAN SUNZU kikosi kingekuwa batili
Asee naweza kuwa nimekaimu kwa muda kitengo cha afisa habari kipindi uongozi unatafuta mtu wa kujaza hiyo nafasiBila shaka inakufaa.
Hafisa habari wa club ni miongoni mwa nafasi chache zilizobaki kwenye timu.
tunajaribu kupitia majina machache ya wadau ili kuziba nafasi iyo.
msilete tu fujo uwanjani maana hamkawii kuvunja viti tukishawatia gilo 5 kwa 0.Tulieni kikubwa mlete timu uwanjani msije kususa hii mechi haitakuwa na kanuni nyingi
Hii mechi tunaanzia uwanja wa nyumbani kwahyo karbuni Bunju sema tukija away wenzetu sijui uwanja mtatoa wapi?msilete tu fujo uwanjani maana hamkawii kuvunja viti tukishawatia gilo 5 kwa 0.
Ndiyo vizuri ili mkiletea fujo mvunje viti vya uwanja wenu.Hii mechi tunaanzia uwanja wa nyumbani kwahyo karbuni Bunju sema tukija away wenzetu sijui uwanja mtatoa wapi?
Nipende kusema kuwa nkipata hiyo nafasi ni kuhakikisha mashabiki wa uto hapa JF hawatambi kwa kipindi cha miaka saba kingine ni kuwa kila game tutayo cheza ushindi itakuwa lazima hapa hatutakuwa na slogan nyepesi kama za Dar to Lagos ila zitakuwa slogan za kibabe tu mpaka ushindi utapatikanaToa ahadi kwanza kama yule jamaa alivyoenda utopolo aliwaahidi ubingwa wa mara 28,je'na wewe utatupa ushindi?
Msemaji mieAngekosekana OKW BOBAN SUNZU kikosi kingekuwa batili
Sema mechi ya away mbona tarifa za uwanja hatuna au tunaenda kuchezea pale yanakopaki mafuso ya kupeleka mizigo Moshi au sio?ndiyo vizuri ili mkiletea fujo mvunje viti vya uwanja wenu.