Kikomo cha mtu kuwa yatima ni miaka mingapi?

Kikomo cha mtu kuwa yatima ni miaka mingapi?

Yatima ni mtoto under 18
Ukiwa juu ya hapo we ni mtu mzima.sema tu huna wazazi wote inatosha.
Ukiwa mtu mzima we tayari ni mzazi mtarajiwa.unajiitaje yatima?

Yatima ni yule akikosa malezi ya wazazi wawili Kwa kufariki.
Mtoto yatima

Huyo ni Mzee yatima.
 
Ni miaka 18.
Japo kwa miaka 14, anaweza yeye mwenyewe akaikataa hali hiyo ya kuwa yatima. Akaanza kujitegemea. Siku hizi kijana wa miaka 14, anaweza akafanya shughuli za uzalishaji mali na kujitegemea.
 
YATIMA
ni mtoto aliepoteza wazaz wote wawili au kutelekezwa.
ataitwa hvohvo hadi kuzikwa kwake.

na mtu akipoteza wazazi, wake akiwa na umri mkubwa, haitwi vile.

jina YATIMA mim nadhan nila huruma au kumtambulisha mtoto kuwa hajiwez.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom