Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,902
- 97,372
Sawa kwahiyo ataitwa na nani?YATIMA
ni mtoto aliepoteza wazaz wote wawili au kutelekezwa.
ataitwa hvohvo hadi kuzikwa kwake.
na mtu akipoteza wazazi, wake akiwa na umri mkubwa, haitwi vile.
jina YATIMA mim nadhan nila huruma au kumtambulisha mtoto kuwa hajiwez.