KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
mna diskas mwanamme mwenzenu??????????????????????
ww unataka tuwadiscuss wanawake wenzako.
nashangaa watu wanatumia muda wao mwingi kumpaisha jamaa hapa JFmna diskas mwanamme mwenzenu??????????????????????
Huu ni mwaka wa tatu, huwa namsikia akikohoa live redioni.Anayebisha amsikilize leo kama hata kohoa, nitamtumia vocha za 50 alfu kwa pm.
Zamani tulikua tunachemsha misonobali na kunywa juice yake,,ni tiba tosha kwa vikohozi sugu. Namshauri atumie.
Duh hili jibu kali sana!!!!
nashangaa watu wanatumia muda wao mwingi kumpaisha jamaa hapa JF
ww unataka tuwadiscuss wanawake wenzako.
thanks!!! wengine wanaishi kama vile wana miadi na mungu!!director nakuamuru udelete hiyo post, nyie watu kuna mambo ya kuropoka.
Hata kama ni kweli, what will u gain kwa kumstress kwa kumwandika humu
I believe in life not death, mwongee mtu hata dk 2 za kuishi si kupunguza.
mkuu hii imekushushia sana heshima na nasikitika kusema kwamba law of karma is always right; haya bwana endelea na usemacho:alien:si tulisikia ana ngoma au?