Kikeke ambana Maalim Seif

Kichwa cha habari na taarifa yenyewe havifanani!
Jipange upya ili kuweka mambo ktk mstari.
 
kwa katiba ipi au sheria ipi ya uchaguzi wa marudio.
Wiki iliyopita nilipata fununu kuwa tukio hilo (uchaguzi wa marudio zenj) karibuni litaingia kwenye GUINESS BOOK OF RECORDS. Watalii watamiminika hao!!. Kilichonishtua zaidi ni, eti maprofesa wa mbele wana mpango wa kumpata Muungujwa mmoja atakayejitolea ili ubongo wake ukachunguzwe ili kujua kama watu wa huko wana akili za binadamu kwa 100%
 
Muda huu maalim seif yupo kikaangoni BBC chini ya salim kikeke,.Amembana kwa nini hakuhamasisha wafuasi wake kupiga kura kwa maranyingine ikiwa yeye alishashinda kwenye uchaguzi wa awali.Kwa mara nyingine tena maalim anachemka kuhusu kususia uchaguzi.Kazi kwenu mnao muabudu.Dk 3 za maswali toka kwa Kikeke maalim jasho limemtoka.

acha upumbavu ata ss tumeangalia iyo habar uache ujinga kabisaa hakuna kilicho fanyika hapo kwa kua muuliza na muulizwa maswali wote hawakua wanasikilizana ukome kuleta ushabiki wako apa.
 
Mshauri mkuu wa Rais Mh Bulembo , amependekeza watu kama wewe watimuliwe ndani ya chama .
 
Salim kikeke ameshindwa kuficha ukijani wake anataka kupigana ila simlaumu cv yake nasikia hata diploma ya uwanahabari hana ni mchimba mgodi wa chini na muendesha vpindi vya mziki hapa tz enzi hizo.Ni mwanahabari mwenye CV ya chini kule Uk .Asubir tu DED ,RAS ,RC au DC
 
Kikeke nilikuwa na namuona mtangazaj bora kumbe naye ni bwege kabisa,uliona lini mtu unamuhoj kama mnalumbana? Kikeke naye anatafuta kaz ya UDC tu
 
Nimefurahishwa sana Salimu Kikeke alivyomuhoji Seif
Kwasababu Seif hakuwa na hoja za msingi kwanini hwakushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar

Yaani leo ndio mnataka kujua nini kilitokea zanzibar? Kwa akili hii viwanda vitapatikana kweli? Hiyo what happened in Zanzibar is a past tense, now we are dealing with the consequences
 
Hivi Kikeke alifanya utafiti kidogo tu kuhusu katiba ya Zanzibar na uchaguzi wa marudio? Sidhani- leo hana tofauti na vijana wa kisonge. Kikeke unahitaji elimu ya ziada kwa Shaka Ssali ambaye hivi karibuni alimhoji Seif. Shaka Ssali is well informed siasa za Zanzibar.
 
Ukiona hivyo ujue salimu kikeke nae ni kijani.
Hahahahah, hio ndio BBC bana hairembi , hata Lowasa jasho lilimtoka aliishia kusema ataenda kuchunga ng'ombe, lakini tunashangaa yupo mjini anakula maisha.
 
Kikeke Leo kama mtangazaji Wa TV furan iv apa apa dar alikua aitaji jibu ila alipima ulimi Wa maalim self
 
Mkuu mi nilisikia kigugumizi tuu cha maliim wala ckuelewa maana kila mtu alikuwa anaongea hadi airtime yake ikaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom