Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Chadema wamekuwa paranoid sasa, ni kama wagonjwa vichaa wanaona maluweluwe tu kila wakati
 
Usitake kutisha watu, Kwa taarifa yako siyo Kigoma tu, Mikoa zaidi ya 10 vikao vimekaa na mpango mkakati unaendelea, Mikoa hiyo ni Kigoma, Tabora, Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam, Rukwa, Mwanza na Dar es Salaam na Singida na Shinyanga.

Hata CUF ilianzishwa Kanda ya ziwa lakini kwa sasa ni maarufu sana Znz, mkakati ni kuihamisha ngome ya CDM kutoka kaskazini na kuihamishia sehemu tofauti

Zzk ndiyo basi, wanahangaika na waste product
 
Wakuu,

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,

"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)

Waliohudhuria ni wenyeviti wa kata.

Meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib)

Mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin)
Athuman kabogo (katb. wilaya kgm mjn)
Bakar Beji (meya kgm manispa)

Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na katibu wa vijana mkoa, katibu mwenez mkoa) na madiwani

Agenda kuu zilikuwa
1. Kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda.

Maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"

Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,

"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mt

Hii inadhihilisha hofu mliyo nayo na kuweka wazi kwamba mkisikia kila mtu anayemzungumuzia mema ZZK anahujumu CDM. mmesahau kuwa ZZK kigoma ni kwao? sasa ulitaka wasikae kumzungumzia mtoto wa nyumbani? Haya yote yanaonyesha kuwa mnafanya kila mbinu za kujihami ili kuuficha ukweli, mkiambiwa kuna umamruki ndani ya CDM kampuni mnakataa, sasa hii ni nini? na sisi tuna kikao kesho kutwa tabora mjini leteni mtu maana tunazungumzia mema ya ZZK.
 
Sasa ji dhahiri kuwa Waislam hawatakiwi ndani ya CHADEMA. Majina yote aliyoyaweka Yeriko Nyerere kama ndo majina ya wahujumu chadema ni ya kiislam
 
CHADEMA bado hawajakomaa kupewa nchi, tuhuma za kusalitiana ni nyingi mno, kabla hata ya kuingia ikulu, Wakiingia si watasalitiana na kupinduana ndani ya wiki moja?
 
Sasa ji dhahiri kuwa Waislam hawatakiwi ndani ya CHADEMA. Majina yote aliyoyaweka Yeriko Nyerere kama ndo majina ya wahujumu chadema ni ya kiislam

usaliti hauna dini mjomba , hayo majina tu , unaweza kukuta hao wote ni wapagani !
 
Wakuu,

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,

"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)

Waliohudhuria ni wenyeviti wa kata.

Meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib)

Mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin)
Athuman kabogo (katb. wilaya kgm mjn)
Bakar Beji (meya kgm manispa)

Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na katibu wa vijana mkoa, katibu mwenez mkoa) na madiwani

Agenda kuu zilikuwa
1. Kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda.

Maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"

Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,

"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mt

Mkuu unaposema mnahujumiwa hueleweki waliokaa wote viongozi wa Chadema hakuna Cuf wala Maccm kama mnavyoita sasa kama mmefikia mahali mnaogopa kivuli chenu inakua ajabu maana sasa huku kuweweseka mnatishwa Vinyago mlivyochonga wenyewe ama hii kali mnatoka nduki hadi nje duh! Vinyago vingine vinatisha!
 
[QUOTboni;8374011]Sasa ji dhahiri kuwa Waislam hawatakiwi ndani ya CHADEMA. Majina yote aliyoyaweka Yeriko Nyerere kama ndo majina ya wahujumu chadema ni ya kiislam[/QUOTE
Hivi Uislam ni jina? Unaijua vizuri imani yako (kama nawe ni mwislam)? Dini imeingiaje kwenye hii thread au umekaririshwa? Acha kuwa robot.
 
Watanzania wote jueni kuwa mungu ameipa nguvu chadema kuja kutukomboa wa tz tulio angamizwa na ma ccm,hivyo wale wote wanao kaa vikao vya kutaka kuihujumu cdm wata umbuka mapema,kueni makini uslama wa chadema ni zaidi ya FBI popote na chochote kitagundulika mapema
Kuna maaskofu walidiriki hadi kusema kuwa Kikwete ni chaguo la Mungu, ajabu leo wanalalamika. So wewe sio wa kwanza kumsingizia Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom