Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Status
Not open for further replies.
hichi chama ni cha kingese kweli hakina msemaji maana mpaka kakap...oo..aa yeriko anajishebedua tuu nimeamini ukiwa jobles ni balaa ama buku tano ya dj mbowe inafanya kaxi



"onyo"

wewe mtoto ujue hata wazee tumo kwenye hili jukwaa sasa kama unaleta tabia za fb,mods msishangae tukawakimbia.
 
Nawapongeza vijana hii ndio chadema ambayo nipotayari kufa kwaajili yacho.



Nipo kigoma nami nitatafu habari za kutosha.



Nikisema peopleeeeeees vijana wangu bilakubagua chadema au c.c.m, itikieni poweeeer......
 
Kwa uimara huu wa chama kuanzia leo naahidi kukifia chama changu murua "chadema".
 
Heko chadema na uongozi wake chini kamanda mkuu freeman mbowe.


Kwetu kure nyamatembe tunaita



"takbirrrrr..."
kwa kigogo tunasema "makani maswamu anye ka?"

kwa kiha tunasema "amagambo galaweleye chane"


namalizia na, kilaniwe chama cha c.c.yemu" mafisadi,majangili,matekaji,mauaji, matapeli na mjizi ya mali za uma.
 
Kulala silali vijana wangu hadi tuikomboe n.chi hii kwa chama makini chadema.


Nachukia sana uhuru wa bendela!
 
Katibu mkuu Padri slaa - mkristo
Mwenyekiti Mbowe- mkristo
Mwanasheria mkuu wa chama Tundu Lissu-mkristo
Katibu mwenezi wa chama J.Mnyika-mkristo
Mkurugenzi wa usalama W.Lwakatare-mkristo
Mfuta vioo vya ofisi Mohammed Mtoi-muislamu
Makamu mwenyekiti aliyejiuzulu kwa mizengwe Said Arfi- muislamu
Naibu katibu mkuu aliyefukuzwa Zitto Kabwe-muislamu...........

uongozi hauendi hivyo kijana baada ya mwenyekitu kuna makamu mwenyekiti, bara na znz, baada ya katibu kuna naibu katibu bara na znz... hivyo tukitaka kurafuta kwa vigezo hivyo tukaangalia serikali ya magamba, wakuu wa mikoa na wilaya ni .....
 
Wakuu,

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,

"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)

Waliohudhuria ni wenyeviti wa kata.

Meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib)

Mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin)
Athuman kabogo (katb. wilaya kgm mjn)
Bakar Beji (meya kgm manispa)

Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na katibu wa vijana mkoa, katibu mwenez mkoa) na madiwani

Agenda kuu zilikuwa
1. Kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda.

Maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"

Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,



"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mtu"

Mkuu na kusini wamekaa pia... hauna inteligensia hiyo????
 
hawana jipya hao njaa inawasumbua tu.
 
Watanzania wote jueni kuwa mungu ameipa nguvu chadema kuja kutukomboa wa tz tulio angamizwa na ma ccm,hivyo wale wote wanao kaa vikao vya kutaka kuihujumu cdm wata umbuka mapema,kueni makini uslama wa chadema ni zaidi ya FBI popote na chochote kitagundulika mapema

Hivi ulikisoma ulicho andika kabla ya kupost maana ni zaidi ya pumba.
 
Ni Mungu gani huyo? Maana kuna miungu wengi. Hata akina Mangi Meli, Isike na wengine walikuwa wanaitwa miungu. Wengine wanamuita Yesu ni Mungu huku wengine wakiamini Mungu wao ni Allah. Sijui huyu Mungu wa CHADEMA anaitwa nani

Mungu wa Chadema, ni yule aliyeziumba mbingu na ardhi, na yeye ndiye aliyetuumba, na ni yeye anayejali maisha yetu, na ndiye anayewachukia mafisadi, huyó ndiye ameiweka Chadema kuwakomboa watanzania. Yeyote aliyekinyume na Chadema Tuko kinyume cha Mungu, na Kamwe hawezi kufanikiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom