Ni Mungu gani huyo? Maana kuna miungu wengi. Hata akina Mangi Meli, Isike na wengine walikuwa wanaitwa miungu. Wengine wanamuita Yesu ni Mungu huku wengine wakiamini Mungu wao ni Allah. Sijui huyu Mungu wa CHADEMA anaitwa naniWatanzania wote jueni kuwa mungu ameipa nguvu chadema kuja kutukomboa wa tz tulio angamizwa na ma ccm,hivyo wale wote wanao kaa vikao vya kutaka kuihujumu cdm wata umbuka mapema,kueni makini uslama wa chadema ni zaidi ya FBI popote na chochote kitagundulika mapema
Yeriko ni mru aliyeajiriwa na Team Mbowe kuleta mipasho mitandaoni. Huyu ni kama Tariq Aziz wakati wa utawala wa Saadam Hussein
Ndo CDM inapotea kabisa kigoma. Wataisoma namba 2014 na 2015View attachment 131926
Mwamba wa magharibi
Wakuu,
Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,
"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)
Waliohudhuria ni wenyeviti wa kata.
Meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib)
Mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin)
Athuman kabogo (katb. wilaya kgm mjn)
Bakar Beji (meya kgm manispa)
Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na katibu wa vijana mkoa, katibu mwenez mkoa) na madiwani
Agenda kuu zilikuwa
1. Kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda.
Maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"
Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,
"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mt
Mkuu, hawa jamaa wanaweweseka sana. Walianza kwa kusema kuwa wanahujumiwa na CCM. Sasa wanajioneshq ujinga kuwa anayewasaliti ni mwana cdm tena viongozi wa mkoa na wilaya.Huu UJINGA wa CHADEMA kila siku, TUNAHUJUMIWA, TUNASALITIWA, TUNAONEWA, TUNAWINDWA TUUWAWE, ...
Hujakaa sawa Dr.Slaa anakuja na matamko yake ya kunasa nyaraka za siri, you guys should grow up now! acheni huu utoto!
CCM = SembeChadema = kanisa
Duh. Kwa hakika chadema ndo inakufa hivyooo. Tusubiri mazishi rasmi 2015Usitake kutisha watu, Kwa taarifa yako siyo Kigoma tu, Mikoa zaidi ya 10 vikao vimekaa na mpango mkakati unaendelea, Mikoa hiyo ni Kigoma, Tabora, Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam, Rukwa, Mwanza na Dar es Salaam na Singida na Shinyanga.
Hata CUF ilianzishwa Kanda ya ziwa lakini kwa sasa ni maarufu sana Znz, mkakati ni kuihamisha ngome ya CDM kutoka kaskazini na kuihamishia sehemu tofauti
Yeriko
mwambie lwakatare au sa8 awalishe sumu, au kilewo awamwagie tindikali
Mkuu, hawa jamaa wanaweweseka sana. Walianza kwa kusema kuwa wanahujumiwa na CCM. Sasa wanajioneshq ujinga kuwa anayewasaliti ni mwana cdm tena viongozi wa mkoa na wilaya.
Hizo ni nyaraka nyeti, ikiwa wahusika watakuja kukanusha, basi zitawekwa hapa.