Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Status
Not open for further replies.
kupanga na kukamatwa ni kitu kama chupa na maji, CDM iko juu ya uelewa wa kina ZZK
 
Salute sana cdm na Yericko Nyerere. Wajue cdm ni mpango wa Mungu kuikomboa hii nchi. Ccm wajifunze japo chembe au wawaombee cdm wawasaidie ku deal na ujangili madawa ya kulevya. Eti tuna usalama. !!!! Uko kisiasa kuthibiti cdm.
 
chadema vipande vipande!
Ikulu sasa itabakia kuwa ndoto.
 
Taarifa nzuri. kuweni acho hawawezi kuachia nchi hivi hivi wataweka mizengwe na vibaraka wa kila aina.lakini washimdwe !
 
Yeriko
mwambie lwakatare au sa8 awalishe sumu, au kilewo awamwagie tindikali

mkuu yericko.kuna vikao vingine vya kumsapoti zito vimefanyika mwanza.iringa.mbeya na tabora.agenda kuu ni kumsapoti zito na kumng'oa madarakani mbowe kwa kuhujumu chama.wahudhuriaji ni wenyeviti na makatibu wote wa chadema wilayani na mikoani.wajumbe wote wa baraza kuu la chadema wa kanda hizo na wanachama.tuwatmue wote hawa ni wasaliti.ninao ushahidi wa kutosha wa video na maandishi.tuwatimue hawa ni wasaliti
 
Jacket on manyerinyeri.
Hii taarifa ilipaswa uwape wafadhili wako na uwambie chama kinafia mikononi mwenu...

Watu Wa Kigoma hawatishwi na chochote....

Wakiamua wameamua.... hawarudi nyumaaa

Hongera manyerinyeri kutusaidia kujua jinsi chama kinavyokufa.....
Nakuamini.......
Na huu mpango sio tu Kigoma........
Kwao mtu ni muhimu kuliko chama....
 
Wasalliti wote wa cdm mtaanikwa juani. Zitto Pasco alikushauri sana achana na masuala ya cdm. Mimi naongezea kuwa epuka na waambie mashabiki wako watulie. Mnazidi kuharibu. Naamini umeshasoma alama za nyakati kuwa wengi cdm uliofikiri wanakupenda hawakupendi. Sakata la kutemwa cdm limekuonyesha wazi . Hukutegemea kuzomewa. Hukutegemea kuwa siku itatokea utanununua mashabiki kukufagilia. Ulipokuwa na adabu ndani ya cdm uliheshimika hadi kubebwa. Leo hii unatembea na bodi guards!!!! Tafakari.
 
Mbona huweki taarifa ya vikao vyenu vya Kuteka na Kudhuru wananchi wasio na Hatia ?
 
Salute sana cdm na Yericko Nyerere. Wajue cdm ni mpango wa Mungu kuikomboa hii nchi. Ccm wajifunze japo chembe au wawaombee cdm wawasaidie ku deal na ujangili madawa ya kulevya. Eti tuna usalama. !!!! Uko kisiasa kuthibiti cdm.

Hugo Mungu Wa mbowe na Rostam? Mbowe na wake za watu? Slaa na wake za watu? Chadema name utesaji???

Kweli Huyo ndiye yule Mungu Wa chadema. Viva chadema....
 
Kamanda Yericko Nyerere hao jamaa wanapoteza tu muda wao bure kumuunga mkonomsaliti.

Leo tulikuwa na mkutano wa hadhara Ukonga mtaa wa mazizini watu wote wamepitisha azimio la kuunga mkono uamuzi wa kamati kuu kuwashughulikia wasaliti. Kwa kauli moja wanachadema kata ya Ukonga wamesema kuwa CHADEMA KWANZA WASALITI BAADAE.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,

"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)

Waliohudhuria ni wenyeviti wa kata.

Meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib)

Mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin)
Athuman kabogo (katb. wilaya kgm mjn)
Bakar Beji (meya kgm manispa)

Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na katibu wa vijana mkoa, katibu mwenez mkoa) na madiwani

Agenda kuu zilikuwa
1. Kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda.

Maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"

Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,



"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mtu"

Oo muendelezo wa udini haya wamalizeni wote ndo hapo mtajua kwamba nchi hii sio mpango wa mungu peke Yao ndio wanaopiga kura
 
Watanzania wote jueni kuwa mungu ameipa nguvu chadema kuja kutukomboa wa tz tulio angamizwa na ma ccm,hivyo wale wote wanao kaa vikao vya kutaka kuihujumu cdm wata umbuka mapema,kueni makini uslama wa chadema ni zaidi ya FBI popote na chochote kitagundulika mapema

kweli kabisa mkuu, huyo mungu wako ameipa nguvu cdm kuwakomboa watu fukani fulani kutoka katika maisha ya utajiri na kuelekea katika ukwasi uliopitiliza kupitia migongo ya taasisi za kisiasa.
Endeleeni kuwa vipofu ilhali macho mmepewa kwa ajili ya kuona, masikio kwa ajili ya kusikia na akili ya kujua jema na ovu.
 
Kama ni kweli watu wa kigoma hawapaswi kupewa uongozi hata kidogo! Yaani kazi yao ni kumlinda muhalifu na sio taasisi! Chadema kuweni makini sana na watu wa aina hii!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom