Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,026
Reaction score
20,511
Wakuu,

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,

"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)

Waliohudhuria ni wenyeviti wa kata.

Meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib)

Mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin)
Athuman kabogo (katb. wilaya kgm mjn)
Bakar Beji (meya kgm manispa)

Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na katibu wa vijana mkoa, katibu mwenez mkoa) na madiwani

Agenda kuu zilikuwa
1. Kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda.

Maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"

Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,

"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mtu"
 
Wameshindwa Kabla hawajaanza! Chadema ni mpango wa Mungu.
 
Hongera CDM kwa hilo. Taasisi yote inayotaka kuwa imara ni lazima iimarishe vyombo vyake vinayohusika na Usalama. Kwa CDM naamini vyombo vyenu vya Usala viko juu hapa Tanzania kuliko chama chochote cha siasa. Hongereeni saana mpaka tunawatamani kwa yale mnayoyafanya.

Wakuu,

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,

"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)

Waliohudhuria ni wenyevit wa kata meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib) mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin) Athman kabogo (katb. wilaya kgm mjn) Bakari Beji (meya kgm manispa) Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na ktb wa vijana mkoa, katb mwenez mkoa) na madiwani angenda kuu zilikuwa ni kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"

Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,

"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mtu".
 
kuifanyia hila chadema ni kuipaisha,jambo hili nalisema kila mara kwa nini hamnielewi?
 
Hii inaonyesha huu ni mwanzo tu bado makubwa yaja.
Hivi haya yanafanyika kumnufaisha nani?
Kwanini busara zisitumike?
Kwanini tuharibu harakati zetu za kuikomboa nchi kwa sababu tu ya mtu mmoja katika chama kizima?
Je kuna athari gani akibaki ndani ya chama lakini bila majukumu wala cheo?
Yatupasa kutanguliza busara na hekima kuliko hasira na jaziba.
 
Yeriko
mwambie lwakatare au sa8 awalishe sumu, au kilewo awamwagie tindikali
 
Watanzania wote jueni kuwa mungu ameipa nguvu chadema kuja kutukomboa wa tz tulio angamizwa na ma ccm,hivyo wale wote wanao kaa vikao vya kutaka kuihujumu cdm wata umbuka mapema,kueni makini uslama wa chadema ni zaidi ya FBI popote na chochote kitagundulika mapema
 
Yeriko ni mru aliyeajiriwa na Team Mbowe kuleta mipasho mitandaoni. Huyu ni kama Tariq Aziz wakati wa utawala wa Saadam Hussein
 
image.jpg
Mwamba wa magharibi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom