Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Kikao "Maalumu" cha kuihujumu CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hugo Mungu Wa mbowe na Rostam? Mbowe na wake za watu? Slaa na wake za watu? Chadema name utesaji???

Kweli Huyo ndiye yule Mungu Wa chadema. Viva chadema....

Sikubali kuwa Mbowe akichukuwa fedha kwa Rostam. Weka uthibitisho wa hata payment vourcher. Kama nyie ccm ni wasafi Rostam fisadi ilikuwahe hata awe mbunge na mwenye vyeo vya chama? Suala la ndoa ni private affairs maana Tanzania si kigezo kwa kuwa kodi zetu zinahudumia nyumba ndogo lukuki. Na hakika suala la familia na ufuska lingekuwa linatumika vetting Tanzania basi tusingekuwa na mkurugenzi, katibu mkuu, waziri au Rais. Sitaki kutaja ya wa kwenu kwani bado nazihitaji kucha zangu, meno, macho na zaidi uhai wangu.
 
Sasa ji dhahiri kuwa Waislam hawatakiwi ndani ya CHADEMA. Majina yote aliyoyaweka Yeriko Nyerere kama ndo majina ya wahujumu chadema ni ya kiislam

Rais ZNZ Muislam
Rais TZ Bara Muislam
Makamu Rais,Bara Muislam
Makamu Rais ZNZ Muislam
Seif ZNZ ni Muislam
IGP (aliyestaafu) Muislam
Mbona Wakristo tuko Cool tu!?
Sasa Siasa za Udini unazozipandikiza Nini faida yake!?
 
Sasa ji dhahiri kuwa Waislam hawatakiwi ndani ya CHADEMA. Majina yote aliyoyaweka Yeriko Nyerere kama ndo majina ya wahujumu chadema ni ya kiislam
teh teh, hivi wewe ni mtanzania kweli? Siamini hata kidogo! Ni mdini kupita kiasi!
 
bila shaka hii itakuwa intelijensia ya kichina
 
Kwa ninikigoma tu ndo wanaoliana uzito?huu nao tuuitaje?ni ukabila au ni aina tofauti na ule uitwao uchaga?
 
Rais ZNZ Muislam
Rais TZ Bara Muislam
Makamu Rais,Bara Muislam
Makamu Rais ZNZ Muislam
Seif ZNZ ni Muislam
IGP (aliyestaafu) Muislam
Mbona Wakristo tuko Cool tu!?
Sasa Siasa za Udini unazozipandikiza Nini faida yake!?

Katibu mkuu Padri slaa - mkristo
Mwenyekiti Mbowe- mkristo
Mwanasheria mkuu wa chama Tundu Lissu-mkristo
Katibu mwenezi wa chama J.Mnyika-mkristo
Mkurugenzi wa usalama W.Lwakatare-mkristo
Mfuta vioo vya ofisi Mohammed Mtoi-muislamu
Makamu mwenyekiti aliyejiuzulu kwa mizengwe Said Arfi- muislamu
Naibu katibu mkuu aliyefukuzwa Zitto Kabwe-muislamu...........
 
Kamanda Yericko Nyerere hao jamaa wanapoteza tu muda wao bure kumuunga mkonomsaliti.

Leo tulikuwa na mkutano wa hadhara Ukonga mtaa wa mazizini watu wote wamepitisha azimio la kuunga mkono uamuzi wa kamati kuu kuwashughulikia wasaliti. Kwa kauli moja wanachadema kata ya Ukonga wamesema kuwa CHADEMA KWANZA WASALITI BAADAE.

Kijijini kwangu wameapa kumpiga mawe akijitokeza.
 
Ubabe mlokuwa mwaukataa kwenye chama tawala wa kimamlaka nashangaa mnautukuza kwenye chadema,hahaaa mmefeli vibaya na mjipange maana kabla ya vita mshashindwa vita.
 
Ubabe mlokuwa mwaukataa kwenye chama tawala wa kimamlaka nashangaa mnautukuza kwenye chadema,hahaaa mmefeli vibaya na mjipange maana kabla ya vita mshashindwa vita.


naona unaota mchana kweupe, hizi ni hoja au hisia zako tu. Unapaswa uongee jambo kwa evidence or fact.

acha porojo we gamba
 
kweli kabisa mkuu, huyo mungu wako ameipa nguvu cdm kuwakomboa watu fukani fulani kutoka katika maisha ya utajiri na kuelekea katika ukwasi uliopitiliza kupitia migongo ya taasisi za kisiasa.
Endeleeni kuwa vipofu ilhali macho mmepewa kwa ajili ya kuona, masikio kwa ajili ya kusikia na akili ya kujua jema na ovu.

Mkuu hao wengine wananjeshwa asali ktk kizibo cha chupa lakini chupa wanayo wenyewe kwa kupiga makofi hao! Kutwa nzima wanashinda pale K'ndoni HQ wanasubiri wenye chama walambishwe na kupangiwa cha kusema yaani wapo kama misukule washkaji wamesoma ila akili zimedumaa kwa mizinga hao acha kabisa Utasikia mwanangu ntie buku niende nikastuke kiroba pale kwa Mamtei!
 
Hichi chama ni cha kingese kweli hakina msemaji maana mpaka kakap...oo..aa yeriko anajishebedua tuu nimeamini ukiwa jobles ni balaa ama buku tano ya dj mbowe inafanya kaxi
 
mpaka mzinzi mbowe na mchungaji aliekimbia kanisa na kwenda kuzini na mke wa mtu watuachie chama...uongozi wa kimla umepitwa na wakati
 
Wakuu,

Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,

"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)

Waliohudhuria ni wenyeviti wa kata.

Meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib)

Mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin)
Athuman kabogo (katb. wilaya kgm mjn)
Bakar Beji (meya kgm manispa)

Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na katibu wa vijana mkoa, katibu mwenez mkoa) na madiwani

Agenda kuu zilikuwa
1. Kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda.

Maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"

Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,



"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mtu"
Kikao halali unakiita hujuma?yaani ingekuwa mambo hayo walijadili kinyume Kama hivi "tunaunga mkono maamuzi ya mbowe na wapambe zake kwa maamuzi dhidi ya zito" Leo ungewaita makamanda!hivi Hilo Nyerere ni jina tu au unaundugu nae?mbona we Kama mburula hv!
 
naona unaota mchana kweupe, hizi ni hoja au hisia zako tu. Unapaswa uongee jambo kwa evidence or fact.

acha porojo we gamba

Facts zipi unazotaka we kunguru wakati mleta mada kaleta tetesi zake?kwenye tetesi kila mtu anatoa maoni yake,acha ulimbukeni kwa kuchukia tu kila ambae yupo kinyume na fikra zako.
 
Katibu mkuu Padri slaa - mkristo
Mwenyekiti Mbowe- mkristo
Mwanasheria mkuu wa chama Tundu Lissu-mkristo
Katibu mwenezi wa chama J.Mnyika-mkristo
Mkurugenzi wa usalama W.Lwakatare-mkristo
Mfuta vioo vya ofisi Mohammed Mtoi-muislamu
Makamu mwenyekiti aliyejiuzulu kwa mizengwe Said Arfi- muislamu
Naibu katibu mkuu aliyefukuzwa Zitto Kabwe-muislamu...........

boko unakuwa pumba*u kwahiyo unataka iweje???unahisi zito kafukuzwa kisa dini??ni usaliti tu
 
Hizo ni nyaraka nyeti, ikiwa wahusika watakuja kukanusha, basi zitawekwa hapa.

Safii Makamanda.... Nilishatoa tahadhari hapa kwa wale wote wanaojinasibisha na kondom wakiongozwa na ZZK waache hiyo tabia maana wakishatumika sifa hubadilika kutoka kitendea kazi/nyenzo kuwa uchafu au takataka...

Tutawabaini mmoja baada ya mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom