GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
- Thread starter
- #61
Nilijua tu wakionja ile chai wamekwisha
Doh choo cha stendi wameingia bila shs 100
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !
Nilijua tu wakionja ile chai wamekwisha
Doh choo cha stendi wameingia bila shs 100
Invisible naomba muirudishe post yangu iliyo tabiri namna Mazungumzo ya Jayaka na CHADEMA yatakavyokuwaUnajua nilipopata barua pepe hii toka State House nilidhani labda attachment imekosewa, lakini ndiyo hivyo mkuu.
Ama kweli...!
Wengi tumebaki midomo wazi!
Mnyakatari = Moses Machali tujue kuanzia leo?"Huu ni uhuni!"By Moses Machali.
Upande wa CDM amesign Mnyika na Upande wa Serikali amesign Nchimbi, dah!
Kama hakuwepo atakuwa amerudi kwenye makao yake ya asili GOMBETyson alikuwepo?
Mnyakatari = Moses Machali tujue kuanzia leo?
Kile kikao kati ya Rais wa JMT Dr. JK na ule ujumbe wa CDM ukiongozwa na Mbowe kimekwisha ikulu ikiwa ni muendelezo wa mazungumzo yao yaliyo anza jana na kuendelea leo saa 4 asubuhi. Kuna baadhi ya mambo mkuu wa kaya ameyakubali na kuna mengine yamekataliwa katika waraka ule ambao cdm walimuachia jana ikulu.
Endelea kuwepo tutakupa data zaidi
MAKUBALIANO HAYA HAPA CHINI:
yamekuwa condensed to the maximum;kiujumla hizo para mbili zinaupana mkubwa sana tu,sidhani kama kuna hofu.
kazi imeanza na kajionea watu wanavyopelekeshwa na kupitishwa vitu ambavyo havina msaada kwa taifa,big up CDM.
Mnyakatari = Moses Machali tujue kuanzia leo?