Kikao cha wanaume

Kikao cha wanaume

Kwa kuwa kikao ni cha wanaume
mi namuwakilisha mme wangu...
mi nadhani na njaa nayo inachangia wanatumia hizo id kupiga mizinga
make najua kuna maboya wanahudumia hata watu wasowajua
igweeeeee....

Dah..sikutumii tigo pesa tena. nisije kuwa boya bure
 
Sio wote wanatumia feki id!
narudi kwenye mada hii kitu sio nzuri kabisa mwanaume kutamaani kuwa na mazingira ya ke! kitendo cha kufikiria na kufanya hivyo ni kumkufuru Mungu kukuumba me! kuwa na id mbili kuna watu wanadai wakiwekwa kifungoni wanakosa mengi so bora wakiwa na mbili moja ikiwa kifungoni basi hujiokoa na ya pili jamani kijijini nako kuzuri ujue!
ila mimi hapa naona wabadilike hasa hili la kutumia id za ke!
 
Sheria za jamiiforums zinasemaje kuhusu hili?

Kama mtu amepewa option ya kuficha jinsia kwenye profile, basi tusifuatiliane, tusilazimishane kujuana!!!

We are all fake!!!!!!!!! Huo ndio ukweli..... Otherwise mtafikia kipindi mtataka sasa tuanze kutumia real idz!





Siungi mkono hoja!!!!!!!!! Kila mtu achukue time yake, afanye yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom