Kikao cha wanaume

Asante but yanatumikaje katika mapishi ya makande?

Unapika makande kawaida kwa recipe yeyote ya makande uliyoizoea,ila muda wa kula unachanganya na maziwa ya mtindi.
Uko poa mamy?
 
Sweetie naelewa mtindi ni nini but at what point do you eat it?

Do you pour it over makande, or do you use it to cook makande.

Kuhusu kunisaidia please nisaidie kununa!

kununa? Lols siwezi aisee
nachanganya wakati WA Kula ...tamu Sana!
 

Asiye na akili ndio anaweza asijue,mwenye akili atajua. Mtu kaandika mada"k yangu inatoa harufu kali,naomba msaada" alafu useme usijue jinsia ya alieandika mada,utakua taahira kama sio zezeta.
 
Kwa kuwa kikao ni cha wanaume
mi namuwakilisha mme wangu...
mi nadhani na njaa nayo inachangia wanatumia hizo id kupiga mizinga
make najua kuna maboya wanahudumia hata watu wasowajua
igweeeeee....
 
Vikao vya wanaume wewe umeota lini ndevu kumwakilisha mmeo? dada chaumbea nini?:A S 13:
Kwa kuwa kikao ni cha wanaume
mi namuwakilisha mme wangu...
mi nadhani na njaa nayo inachangia wanatumia hizo id kupiga mizinga
make najua kuna maboya wanahudumia hata watu wasowajua
igweeeeee....
 
Kwa kuwa kikao ni cha wanaume
mi namuwakilisha mme wangu...
mi nadhani na njaa nayo inachangia wanatumia hizo id kupiga mizinga
make najua kuna maboya wanahudumia hata watu wasowajua
igweeeeee....

lakini ipo siku anaweza liwa kiboga
kwa lazima au kwa hiari
cc mrembo mashalaah na ile id yako nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa kikao ni cha wanaume
mi namuwakilisha mme wangu...
mi nadhani na njaa nayo inachangia wanatumia hizo id kupiga mizinga
make najua kuna maboya wanahudumia hata watu wasowajua
igweeeeee....

Embu niambie huyo boya anayeonga asiyemjua na mimi nimwombe anionge
 
Kumbe nimegundua wanawake wa JF wambea kweli kweli. Tumeambiwa kikao cha Wanaume lakini macho yamewatoka pima eti wanachagia
 
Marahabaaa......haya mama suala letu ndiyo hilo yeye kama mwanaume akipata hizo attention zinamsaidia nini? au yeye hiyo mitongozo ya PM anaifurahia,huyo atakuwa mwanaume kamili?

Sasa huko PM sijui huwa mnaongea nini ila sasa naona wanaweza kuwa wanafanya research
 
Grace aliyejaaliwa-Huyu baada ya kumuumbua akanianzishia uzi kuwa nimemtongoza PM,ikawa historia.

Mrembo mashalaah_Nimemuumbua akaja kunianzishia uzi naye kuwa ananichukia kuliko wote JF.

Reggina wa Ukweli,Gilesi na Reggina hope wamekufa tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…