Kikao cha wanaume

Weee kaa mbali na huyo jamaa. He is bad news. Kama unabisha waulize Annina na Kisukari. Ni player huyo. Yaani hafai kabisa:smile-big:

hahaha! Mbona wamchafulia cv hivo? Au hutaki anti yake kisura akumbwe na majanga eeih!
 
Weee kaa mbali na huyo jamaa. He is bad news. Kama unabisha waulize Annina na Kisukari. Ni player huyo. Yaani hafai kabisa:smile-big:

Hahaha halafu we na King'asti mna ishu ipi? Kisukari mna chat?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…