Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

Kweli usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.

Lakini nachoamini ukitaka mwanaume atulie, sharti afulie, akikosa pesa mfukoni mdomo hawezi kufungua, lakini akiwa na pesa, sio rahisi kumtuliza mwanaume.
Na wewe ni muumini wa msemo wa wanawake wa mtwara? Wanamsemo wao "mwanaume muombee njaa mkalime vibarua" kwamba mwanaume akiwa na pesa haiwezi kutulia na mwanamke mmoja.
 
Kweli usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.

Lakini nachoamini ukitaka mwanaume atulie, sharti afulie, akikosa pesa mfukoni mdomo hawezi kufungua, lakini akiwa na pesa, sio rahisi kumtuliza mwanaume.
Afulie ili uanze kumtolea shombo kila kukicha. Wanawake ingekuwa ukiwasikiliza na kuwapiga pumbu tu wanatulizana bila kuwa na vidomo domo maisha ya ndoa yangekuwa matamu sana.

Mwanamke unampenda unamtmber na kumpa kila kitu ila still atakuletea ghasia zisizo na mpango. Ukichepuka anakuja
 
Ni uchafu kula mke wa mtu, kulala na mke wa mtu ni jambo la ajabu sana.

Unajua pasi na shaka, huyu analala na mume wake yule pale kila siku.

Sijui wanaume tuna shida gani, unakosaje pride ya kukubaliana na uchafu wa kiwango hicho.
inaonekana huujui uchafu mkuu
btw,mke wa mtu haliwi,hatongozwi
 
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja kuu Tano:

1. Idadi ya wanawake wasio ndoani ni kubwa sana duniani hivyo hakuna sababu ya kuchukua wenye waume.

2. Wanaume HALISI hawasamehe wakibaini mke alicheat;

3. Wanawake walio ndoani huwaga hawakatai wakitongozwa (reserved for future study).

4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo.

5. Mke wa Mtu sumu hata kama ghetto una maziwa.

Mjadala ulikuwa mzito ila mwenyekiti alikuwa imara na mwisho wa Kikao ikaazimiwa hivyo.

Mwisho wa Kikao.
Witch hunter
 
4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo

Nakazia
, Mwanaume anadhurika Kiuchumi na Kihisia pia bila kusahau kijamii.
 
Mjadala ulikuwa mzito ila maazimio yalikuwa ni hayo.
POpote ulipo Liverpool VPN ni kuwa mjadala uliisha salama na maazimio ni kuwa mbal na wake za watu na ikiwezekana kabisa tuachane na ndoa maana wanawake walio ndan ya ndoa wanaongoza kuachia show.
 
Nilikua naenda kukutana na mke wa mtu maeneo ya Kinyerezi.
Nimesoma huu Uzi nafsi imenisuta napiga U turn narudi nilipotoka, Bagamoyo road.
 
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja kuu Tano:

1. Idadi ya wanawake wasio ndoani ni kubwa sana duniani hivyo hakuna sababu ya kuchukua wenye waume.

2. Wanaume HALISI hawasamehe wakibaini mke alicheat;

3. Wanawake walio ndoani huwaga hawakatai wakitongozwa (reserved for future study).

4. Game ya mke wa mtu huwa ni Kali sana mithili ya fainali na hii inaongeza shida ya kiroho kwa MUME wa mwanamke huyo.

5. Mke wa Mtu sumu hata kama ghetto una maziwa.

Mjadala ulikuwa mzito ila mwenyekiti alikuwa imara na mwisho wa Kikao ikaazimiwa hivyo.

Mwisho wa Kikao.
unaujua utamu wa wake za watu wewe.................kuna mmoja namlaga aisee huyu yuyu dada ni mtamu anajua kukatika na analamba koni kama balaa..................aliniomba nimle tigo nikachomoa
 
Back
Top Bottom