Kikao cha Kamati zote za Bunge kilichokuwa kiongozwe na Spika Job Ndugai leo chaahirishwa

Pasco yupo kundi Moja kina Ndugai
Duh...!.
P
Naunga mkono hoja
P
 
Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho, isipokuwa wafuasi wa Mbowe/chadema.
Mhe. Spika Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Tayari kibuyu kimelia hukoo...
 
Paskali naomba uelewe kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi. Barua iliyoenda kwa Chongolo inatamka kujiuzulu ubunge wa Kongwa.
Huwa nakuamini 100% mkuu taarifa zako zote zina mashiko huenda upo idara nyeti. Mapema leo ulisema wazi kwamba tayari Spika kajiuzulu watu wakawa wanabisha humu ila ikawa ni kweli.
 
Kabisa yajayo yanafuraisha
 
Watanzania bhana hatari sana. Mtu akikemea kwa kutetea maslahi ya taifa mnamnanga duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…