Duh...!.Pasco yupo kundi Moja kina Ndugai
Naunga mkono hojaNaaam!
Kumpa Job u spika ilikua kosa kubwa, si kwasababu ya kutofautiana na mama kwa hili la juzi, ILA kihistoria ya bunge na utendaji wa Job….hakua na sifa! Ni zile “team” za uchaguzi zilipelekea tupate huyu mtu! Tukikosea akapewa Tulia ndio tutaharibu!
No sio kweli, ni kajiuzulu uspika tuu!.Paskali naomba uelewe kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi. Barua iliyoenda kwa Chongolo inatamka kujiuzulu ubunge wa Kongwa.
Utasubiri sana.Subiri kamati kuu ya CCM ikae
Ndugai kavunja Rekodi kwa kuchambana na Amiri Jeshi Mkuu.kuchambwaa na Rais sio jambo dogo
Hiii hapa...Ndugai hawezi kujihuzulu atafanya kazi gani?
Tayari kibuyu kimelia hukoo...Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho, isipokuwa wafuasi wa Mbowe/chadema.
Mhe. Spika Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Au hiii hapa...Kazi zipo nyingi duniani anaweza kuamua kuwa bwana shamba
Huwa nakuamini 100% mkuu taarifa zako zote zina mashiko huenda upo idara nyeti. Mapema leo ulisema wazi kwamba tayari Spika kajiuzulu watu wakawa wanabisha humu ila ikawa ni kweli.Paskali naomba uelewe kuwa jimbo la Kongwa lipo wazi. Barua iliyoenda kwa Chongolo inatamka kujiuzulu ubunge wa Kongwa.
Kabisa yajayo yanafuraishaKama hii ni kweli,hii ni dalili tosha kwamba Samia kashindwa kuendesha nchi.Yajayo yanafurahisha.
Ndugai ana kasoro zake Kama binadamu,lakini kwa hili la mikopo,he was right.Kama nchi hatuwezi kutegemea mikopo,hasa ukizingatia kwamba hawa watu siku zote wana agenda za siri ovu.
na ubunge anaubwaga,hizo habari zimeenea mitaa yote ya LumumbaNo sio kweli, ni kajiuzulu uspika tuu!.
P
Huyu pascal alivyoumia Nina mashaka kuwa huenda ndiye alimshauri ngugai kuongea na wale wagogo hata kama anajitetea kwa kuleta viuzi vyake vya utabiri wa kuzuga bado mhaho wake unaoendelea humu unamuonesha hivyo.Utasubiri sana.
P
Watanzania bhana hatari sana. Mtu akikemea kwa kutetea maslahi ya taifa mnamnanga duuuhKazi ya uspika anaitaka kufa mtu lakini atapata wapi tena nguvu? Akimsifia mama ataonekana mnafiki akipinga juhudi za serikali ataonekana kweli ana nia mbaya kwa mama., yaani hakuna namna nyengine ndugai amejiharibia mwenyewe dakika 5 alizotumia kuongea kitu ambacho hakukifanyaia tathmini ya kina impact yake
Ni kama vile ndugai haikuwa akili yake kuongea vile., ni majuto sana, kule kwetu tunasema "Amepazwa"
"Yanafurahisha" kwa style ya namba 6 ya Vodacom.Kama unaelewa maana ya namba 666 utanielewa.Kabisa yajayo yanafuraisha
Most Tanzanians are suffering from Dellusional Psycosis.Ni huruma sana mkuu.Watanzania bhana hatari sana. Mtu akikemea kwa kutetea maslahi ya taifa mnamnanga duuuh
Akiendelea kuwa Mbunge basi atakuwa mtoro sana au mkimya sana bila kusema matatizo ya Kongwa!!!!na ubunge anaubwaga,hizo habari zimeenea mitaa yote ya Lumumba
Nafasi ni mbili tu, Kamati Kuu na Uspika. Atabakia Mbunge!Mkuu nakuambia kuwa kabwaga nafasi zote na kama huamini subiri uone makovu kama Tomaso
Hasa wenye viti wa ccm wengine darasa la saba tu.