Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Rais wote Africa walio hangusha chama Tawala wametoka chama Tawala sasa mnashauku gani nyie magamba subirini Lowasa Awanyoshe.
 
Kwa akili ya kibinadamu huwezi fikiria au kuingia akilini kirahisi hasa wale wasiojua vizuri siasa.

Ila CCM kwa madhambi mengi na mekundu, kutia nchii hii takatifu duniani Tanzania umaskini wa hatari, kuua tembo, kuchakachua katiba ya wananchi na mbaya zaidi, kukata jina la Lowassa kwa chuki binafsi bila kuangalia SAUTI YA WATU, MAMILIONI WANAMPENDA, BASI CCM IMEJIZIKA YENYEWE HUKO DODOMA...FURAHA YAO ILIISHIA DODOMA.

Na uhakika, hakuna wa kumpigia kampeni Magufuli, hakuna, na watu mamilioni kwa kishindo wanaondoka CCM na Lowassa, na CCM inakufa rasmi.

Ni mpango wa Mungu, kuwafungua akili wana UKAWA, na kumwelewa Lowassa, na kisha ni Mpango wa Mungu kumpa ujasiri wa ajabu Lowassa na kukubali kuungana na UKAWA.

Bila Mungu huu muungano sio rahisi kutokea, tuzidi kuwaombea, na Mungu kawapa upeo mkubwa UKAWA na Lowassa, wananena kwa Lugha moja kama mapacha, kama watoto wa baba mmoja.

Mungu, wapatie UKAWA + Lowassa, nguvu kuu, afya na ulinzi mkuu, natambua, KANU ilikufa kwa njia hii hii, ni baada ya madhambi mengiii ya ajabu...na Leo CCM inakufa the same way.

Ukawa + Lowassa, tambueni ni Mungu yuko nanyi, na atawaongoza na kuwavusha kutoka Utumwani Misri kwenda nchi ya ahadi.

Hivyo basi, wananchi mamilioni wako nanyi, usiku kwa mchana,,majira yote ya mwaka... simameni, msikate tamaa, msichoke, kwani ushindi, ukombozi unapokaribia UCHOVU unakuwa mwingi sana.

Na Mungu awe nanyi, Mpango wa Mungu, mwanadamu hawezi kuuzuia.

Lowassa + UKAWA ni SAFARI YA UHAKIKA.

👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Acha kutunenea wananchi wenzako uongo. Wewe ndio unaeona Mbowe kakufanya zuzu ila si watu wote. Acha siasa za uchonganishi. Najua unaumia kwa uamuzi wake ila huna namna zaidi ya kutapatapa.

Iwapo wewe ni mmoja ya unaoamini kauli ya Mbowe kuwa picha hizo zimetengenezwa, basi ni miongoni mwa watu aliowalenga. Hivyo ni kweli nimeamua kukunenea ili utambuwe Mbowe amekuweka katika daraja gani.
 
kwa akili ya kibinadamu huwezi fikiria au kuingia akilini kirahisi hasa wale wasiojua vizuri siasa...

Ila ccm kwa madhambi mengi na mekundu, kutia nchii hii takatifu duniani tanzania umaskini wa hatari, kuua tembo, kuchakachua katiba ya wananchi na mbaya zaidi, kukata jina la lowassa kwa chuki binafsi bila kuangalia sauti ya watu, mamilioni wanampenda, basi ccm imejizika yenyewe huko dodoma...furaha yao iliishia dodoma...

Na uhakika, hakuna wa kumpigia kampeni magufuli, hakuna, na watu mamilioni kwa kishindo wanaondoka ccm na lowassa, na ccm inakufa rasmi....

Ni mpango wa mungu, kuwafungua akili wana ukawa, na kumwelewa lowassa, na kisha ni mpango wa mungu kumpa ujasiri wa ajabu lowassa na kukubali kuungana na ukawa... Bila mungu huu muungano sio rahisi kutokea, tuzidi kuwaombea, na mungu kawapa upeo mkubwa ukawa + lowassa, wananena kwa lugha moja kama mapacha, kama watoto wa baba mmoja...

Mungu, wapatie ukawa + lowassa, nguvu kuu, afya na ulinzi mkuu, natambua, kanu ilikufa kwa njia hii hii, ni baada ya madhambi mengiii ya ajabu...na leo ccm inakufa the same way....

Ukawa + lowassa, tambueni ni mungu yuko nanyi, na atawaongoza na kuwavusha kutoka utumwani misri kwenda nchi ya ahadi....

Hivyo basi, wananchi mamilioni wako nanyi, usiku kwa mchana,,majira yote ya mwaka... Simameni, msikate tamaa, msichoke, kwani ushindi, ukombozi unapokaribia uchovu unakuwa mwingi sana...

Na mungu awe nanyi...mpango wa mungu, mwanadamu hawezi kuuzuia...

Lowassa + ukawa ni safari ya uhakika....

í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±í-½í±

chadema ni makuwadi wa mafisadi wa ccm.
 
Habari zenu wapendwa.

UKAWA msinisute jamani,ni mtazamo wangu tu.

Kuhamia kwa Lowasa UKAWA kunaonyesha yafuatayo:

1. Nia yake ya kung'ang'ania kuwa raisi si njema.

2. Amedhihirisha kuwa ni mwepesi kuyumbishwa.

3. Hana muda mrefu sana kwenye siasa kwa sababu ni kama anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.

Kama kuna lingine mwaweza kuongeza.

Siku njema
 
Naomba wadau wa siasa tusaidiane hapa, hili jambo linamaana gani kwenye siasa kiujumla hapo inaonesha kuna upinzani wa kimaendeleo au ni upinzani wa maneno kwenye mikutano ya bunge? Inamana gani kumbe kumuita mtu fisad,mlaghai uchumi,mbadhilifu wa Mali za umma,nk halafu leo wanampokea kwa shangwe tena kwa mpa wadhifa mkubwa wa kupeperusha bendera yao kwenye urais? Au wamesahau kuwa huyuhuyu lowasa ndo waliompigia kelele juu ya "richimond" mwaka 2007? Au leo amekuwa msafi baada ya kukatwa kwenye kinyang'anyiro ndani ya chama chake alichokitumikia kwa muda mrefu yaan CCM? Tunalizungumziaje pia kwa upande wa upinzani ndani ya Tanzania yetu?
 
Lowassa kashaibadilisha Chadema.

1. Kabadilisha ratiba yao ya uchaguzi.

2. Kabadilisha mgombea wao. Dr. Slaa anakatwa kwa sababu ya Lowassa.

3. Kabadilisha bajeti yao ya uchaguzi.

4. Kabadilisha kauli zao kuhusu ufisadi.

5. Kabadilisha ilani yao ya uchaguzi.

Sasa tujiulize, nani anayebadili mwenzie? Chadema itambadili Lowassa au Lowassa anaibadili Chadema?

Lowassa yuko kwenye siasa muda mrefu kuliko umri wa Chadema. Kuamini kuwa Lowassa atabadilika ghafla ni kujidanganya kulikopitiliza.

Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.

Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...
Hata kama ni hivyo hakuna tatizo,kwani lengo kubwa ni kuing'oa CCM madarakani bila kujali mbinu zitakazotumika kuing'oa madarakani,mbinu mojawapo ni kuwatumia wale wanaoijua CCM kiundani zaidi.
 
Habari zenu wapendwa
Ukawa msinisute jamani,ni mtazamo wangu tu;
Kuhamia kwa Lowasa ukawa kunaonyesha yafuatayo:

1.Nia yake ya kung'ang'ania kuwa raisi si njema.
2.Amedhihirisha kuwa ni mwepesi kuyumbishwa.
3.Hana muda mrefu sana kwenye siasa kwa sababu ni kama anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.

Kama kuna lingine mwaweza kuongeza.

Siku njema

Urais haupatikani CCM tu!
 
attachment.php



viva lowasa viva ukawaaaaaa
 
Historia ya Kushinda uchaguzi ipo upande wa LOWASSA IKIWA ATAGOMBEA URAIS KUPITIA ukawa.Someni historia muone woote waliyofanya hivyo katika mazingira kama hayo walishinda uchaguzi.
 
Mbowe anakanusha ukweli. Na hizi ni Photoshop?

Hizi ni picha halisi ila ukisikiliza hata mahojiano na yule mwandishi alikuwa hayuko tayari kuzungumzia chochote.
Nadhani kuna wengine wanasema photoshop ila hawajawahi hata kuiona ndio maana wanashindwa kutofautisha.
 
picha hizo ni,photoshop jamani, ukiangalia vizuri sehemu aliyokaa lowasa na mwenzake kumetenganishwa na mstari na aliyevaa combat anaonekana kuwa yupo nyuma ya rangi. naamini hii picha haina ukweli na hata kama lowasa alikuwa kwenye kikao basi si kwa hizo picha.

Kwenye RED hakuna Photoshop hapo, hizo ni picha za kweli kabisa. Ukiangalia picha zote kuna consistency / uniformity ya hali ya juu kabisa, ingekuwa picha moja ningezuzuka lkn hizi nyingi nasema NO!
 
Back
Top Bottom