majizi wakubwa hawa. nipo hapa hotel ya kidia vision mjini kati, basi magamba kibao hadi kichefuchefu. nilichojifunza ghafla ni kuwaagamba wengi shule hawana, ni mijitu inayotawaliwa na mitumbo tuu. kuna jimama hapa lina simu nne zote smart phones limepiga maguo ya kijani. maneno mengii, hadi kero. wacha bhana.
Kamuhanda naye atakuwepo? Damu ya mwangosi itamlilia tu popote aendapoMagamba wamegundua kwamba hawawezi kuikabili CHADEMA bila msaada wa poliCCM.Ngoja wachukue maagizo toka CCM lakini wajue kwamba moto umeshawashwa na hakuna namna ya kuuzima.
Je kiongozi wa dini aliyeshindwa kufuata Makatazo ya dini yake kuwa kuwa ukizini ni dhambi yeye akazaa kabisa utamwitaje.Au jini na je unajisikiaje ukiwa mfuasi wa jini tehe tehe
DUNIA ni kijiji, si lazima ili polisi ipewe majukumu na CCM ,basi wafanye vikao vyao mkoa mmoja.ila inaweza kupunguza gharama na uwezekano wa kumpata kiongozi wa juu wa serikali waliemlenga ili awafungulie mkutano wao. nadhani wanamlenga JK
yote kwa yote, ccm ni chama tawala ,sera zake zinatekelezwa na serikali na kulindwa na vyombo vya dola.kikao cha polisi ni kikao cha viongozi kinachofanyika kila mwaka mara moja. Wahudhuriaji ni senior officer tu. na kama ni mvmizi basi ni CCM, chenyewe hupangwa mwaka mmoja nyuma. wenyewe wanakiita SOC yaani senior officers conference
Mji wa Dodoma leo utakuwa mwenyeji wa kikao cha CC ya CCM. Kesho jumatatu, wakuu wa polisi Mikoa yote (RPC's) watakuwa na kikao pia hapa Dodoma.
Tuseme ndo CCM wanataka kuwapa maagizo maalum?
kwani we una elimu gan,maana nakuona kama walewale tu?