The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,085
Tunapenda kuwafahamisha wanachama wote wa JE SACCOS kuwa tutakuwa na kikao JUMAMOSI hii ya tarehe 17-09-2011kitakachofanyika HONGERA BAR barabara ya Shekilango karibia na CHUO CHA USTAWI WA JAMII kuanzia saa 9 mchana na kuendelea tunaombwa wote kufika bila kukosa hasa kwa wanachama wa JE SACCOS waliopo Dar es Salaam.
Dhumuni la kikao ni kufanya tathmini ya tulipofikia na kuangalia na jinsi gani tunaweza kufikia lengo la milioni tano kwa wakati muafaka tunaomba wanachama wote tujitahidi kufika bila kukosa.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo
0713 887912
0757 212122
0787 212122
Asanteni.