Huyu mzee si alijenga Lushoto!Bado nakumbuka ile building niliyoiona kule porini machame kwa uncle Reginald!
Vina, cheza na vina naona sehemu nyingi vinapoteana! Ushairi ni vina!
Hajui sheria za uandishi wa mashairi! Hayana vina bilivyopangika bure kabisa!
Ndugu yangu Mokaze , sina hakika kama kuna mabadiliko ila mara ya mwisho nilipojifunza kiswahili miaka 21 iliyopita, na hasa lugha ya maishari, tulifundishwa mashairi hayasomwi kama simulizi la hadithi au usomaji wa habari. Unalazimika kujiongeza zaidi kuelewa kulichoandikwa na kilichokua kwenye fikra za mwandishi.Mathew Togolani Mndeme,
Kufuru tupu ndani ya huu utenzi.
Kwani ni Lupaso ndiyo iliyomuita au Mungu? Muda ukifika kila mtu bali kila kitu kitaondoka.
Uzuri mkuu ni kwamba una idea ya kuandika mashairi ukikaa na wataalam kama akina Andanenga, YOB, Dotto Rangimoto utakuwa mwandishi mzuri. Maana kutiririka beti zaidi ya 20 siyo mchezo. Kwa hiyo mkuu unatakiwa ujue mishororo, mizani, vipande, kituo/kibwagizo/kiishio na vina.Uko sahihi ndugu yangu.
Ni kweli kabisa itanilazimu kurudi darasani kuyajua uliyotegemea kuyaona. Kwa sasa nilijikita tu kufikisha ujumbe kishairi na kuhakikisha maneno yanasomeka.
MM Togolani
Unalazimika kujiongeza zaidi kuelewa kulichoandikwa na kilichokua kwenye fikra za mwandishi.
Fikra zako ni kwamba Lupaso ndiyo imemuita, mimi nakataa kata kata, kama angezikwa Dar je ungesema Dar imemuita???!!, ndiyo maana nasema ni vyema ufanye Edit kwenye utenzi wako na useme Mungu kamuita.
Ni Mungu ambaye atatuita sote kulingana na wakati na wala hatujui tutafia na kuzikwa wapi.
Lugha ya mashairi lazima iwe na mantiki hata kama itakuwa na mafumbo mantiki lazima ibaki pale pale.
Inategemea na aina ya watu hata uwape pasi ngapi kufunga magoli kwao ni shida! Bila ya ubaguzi watu wa maeneo ya huko kusini sio aggressive sana kwenye suala la maendeleo
Lakini si 'Mlimani' ni kijiji au sio mkuu?Mlimani kuna ma ekalu ya mabebari..wewe uliona wapi hapo hapo kuna ikulu na hapo hapo kuna hoteli ya nyota nne kama siyo tano? na still mkuu wa nchi anaishi hapo na watu from nowhere bado anapata chumba cha hoteli na kukubaliwa. Jiulize au big and complex it's?
Najua watu wa Chato wanawacheka wa Nanyumbu kimya kimya.
uLakini si 'Mlimani' ni kijiji au sio mkuu?
Kama ni kijiji, hotel na Ikulu vinaweza kuwepo bila ya shida yoyote.
Uelewa wangu ni kwamba Chato sio kijiji kama ilivyo Lupaso!
Kwa hiyo ni sahihi kusema Lupaso na Chato ni vitu visivyohusiana kabisa.Watu wanapenda kupotosha ukweli; Mkimani ni mtaa ndani ya mji wa Chato.
Ofisi ya mkurugenzi na mkuu wa Wilaya ya Chato zote zipo mlimani..Ofisi ya Takukuru wilaya ipo mlimani.. Mkao makuu ya polisi wilaya ipo mlimani..makazi ya mjurugenzi na wilayani ipo mlimani..Benki ya NMB ipo mlimani..Ofisi ya Tanesco inayojengwa ipo karibu na mlimani.. na vingine vingi vipo hapo mlimani sasa itakuaje kijiji mkuu?
Mimi ninachojua; Chato ni makao makuu ya wilaya ya Chato na mji hivyo Mlimani ni mtaa siyo kijiji kama inavyopotoshwa pia barabara za pale imeitaja kama mtaa.
u
Wacha wachaga waendelee kujenga kwao kwa kweli kuna umuhimu mkubwa sana ila siwalaumu wasiotaka kundeleza kwao kuna vijiji watu wachawi jamani usimuliwe tu.Inategemea na aina ya watu hata uwape pasi ngapi kufunga magoli kwao ni shida! Bila ya ubaguzi watu wa maeneo ya huko kusini sio aggressive sana kwenye suala la maendeleo
Huyu mzee si alijenga Lushoto!
Mtuma post ni mvuta bangi aliezubaa, mashaili hayana vina