Kijana wa namna hii tukimfukuza ni kosa?

simple sana,kama mmempatia hifadhi mkaamua hadi kumshirikisha kazi mnazofanya
maamuzi ni kubaki kuwa na hifadhi lakini ofisini hafiki.
 
afu meku kwa umri nilioko sio wa kuwa na ushamba wa wanawake na pia level ya uchumi nilioko nikiwaendekeza hakuna mahali nitafika so na kingine huku changombe niliko huwezi sema huyu ni demu wako ukimkazia mshikaji ataenda gongwa na wengine. Ishu ya dogo ni kupatania kazi kwenye ofisi ya mtu na kuingia mitini na pesa yote bila aibu huku hata dawa ya mswaki hanunui kila kitu unamfanyia kama mwanao tena boom likimuisha na msosi na maji ya kunywa tunamsapport kiaina afu ukipatania kitu anakuzunguka tushamwambia mara kibao haelewi
Basi kulikua hakuna sababu za kuja kuomba ushauri humu maana kwanza, unajichoresha tu maana nyinyi ndio mnajuana huko so kwaiyo usitegemee kila mtu atakupa ushauri utakaoupenda au utegemea
 
Tumieni changamoto kama mtaji wa kuvukia usikubali kukosana kisa kawazidi ujanja na wewe tafuta mbinu kumzidi yeye ipo atakua na nafasi nzuri mtashindwa kisaidiana kwa kitu kidogo kama hiki
 
afu meku kwa umri nilioko sio wa kuwa na ushamba wa wanawake na pia level ya uchumi nilioko nikiwaendekeza hakuna mahali nitafika so na kingine huku changombe niliko huwezi sema huyu ni demu wako ukimkazia mshikaji ataenda gongwa na wengine. Ishu ya dogo ni kupatania kazi kwenye ofisi ya mtu na kuingia mitini na pesa yote bila aibu huku hata dawa ya mswaki hanunui kila kitu unamfanyia kama mwanao tena boom likimuisha na msosi na maji ya kunywa tunamsapport kiaina afu ukipatania kitu anakuzunguka tushamwambia mara kibao haelewi
Huyo dogo asije akawa ni jamaa niliwahi ishi nae anaswaga hizo, nilikuwa namchukulia kama ndugu namnunulia hadi vocha, msosi kwangu kila kitu anapata utafikiri mtoto wangu, akanitongozea dem wangu bahati nzuri dem wangu akaniambia nikampotezea jamaa.

Baadae akaanzisha kunikopa hela tena kwa lazima et nimpe pesa, nikawa namkopesha kumbuka hapo anakaa kwangu, siku moja dem wangu kaja jamaa akaanza kuni mind, aisee tabia zilinishinda siku namtimua hakuamini.
 
Back
Top Bottom