Hii ya kutangaza kumpatia kijana wa uokoaji kazi ni Cover up ya uzembe

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,731
Serikali inajua jinsi ya kucheza na akili za mazezeta wa Kitanzania na inajua inatawala aina gani ya Raia, kwa sasa mjadala usha hama watu wana jadili kijana kupewa kazi, yaani isha toka kwenye kulaumu na kwa sasa watu wanaipongeza Serikali kwa kumpatia kazi, huo ndio mjadala kwa sasa, wale walio fariki imetoka hivyo kazi ya Mola haina makosa.

Serikali ni wajanja sana na wanajua fika asilimia 90 ya raia wake ni wajinga tupu, wapuuzi, akili fupi hivyo kuwa badilishia mtazamo ni swala la dakika tu, Watu wamefariki kwa uzembe na watawala wakaona ili ku divert tuje na kutoa ajira kwa Dogo na kweli wamefanikiwa.

Kutoa kazi ni sawa ila ilipaswa kuwa ni swala la baadae sana kwa sasa ni kijadili nani alikuwa mzembe.

Uzembe umetokea wazi wazi na hakua mtu anawajibishwa na badala yake wanakuja na swagwa za kutoa ajira, hapo isha toka tungoje majanga mengine nako swagwa zitakuwa hizi hizi.

Narudia kusema tatizo la nchi hii ni Raia wapumbavu na wala sio viongozi.
 
Ma mtu yame kalia kupongeza mtu mmoja kupewa kazi zima moto, yamesahau ata idadi ya walio kufa kwa uzembe
 
Ma mtu yame kalia kupongeza mtu mmoja kupewa kazi zima moto, yame sahau ata idadi ya walio kufa kwa uzembe
Serikali wanajua wanaongoza aina gani ya watu, yaani kwa sasa maada imegeuka ni mwendo wa kupongeza tu
 
Ma mtu yame kalia kupongeza mtu mmoja kupewa kazi zima moto, yame sahau ata idadi ya walio kufa kwa uzembe
kinachouma zaidi ni kwamba baada ya landing kwenye maji, karibia 90% to 100% walikuwa wazima kabisa, ni uzembe umesababisha watu hawa kupoteza maisha.
 
Inaovyoonekana ni wazi jeshi la uokoaji halikutimiza wajibu wake kwa sababu ya uzembe na kutokuwajibika. Sasa huyo kijana shujaa anapelekwa huko kufanya nini? Si afadhali kubakia uraiani ambapo ataokoa maisha ya watu kwa kujituma mwenyewe?
 
hawa kamaa mbwembwe nyingii kumbe huwa siku za minuso tu uwanja wa taifa eee..

1667893827294.png
 
kinachouma zaidi ni kwamba baada ya landing kwenye maji, karibia 90% to 100% walikuwa wazima kabisa, ni uzembe umesababisha watu hawa kupoteza maisha.
Usha kuwa coverd kwakutoa ajira kwa kijana, na raia wana shangilia, hii nchi ina wajinga wengi sana
 
Serikali imefanya hivyo kwa ajili ya kundi kubwa la wajinga
Jakaya alishawahi kusema 80% ya watanzania ni wale wasiojielewa, 10% ni mchanganyiko wa wajinga na werevu afu ile 10% ni ile ya werevu wanaojua nini kifanyike kwa hatma ya nchi yao.

Sasa CCM huwa inacheza na sisi 80%.
 
Jakaya alishawahi kusema 80% ya watanzania ni wale wasiojielewa, 10% ni mchanganyiko wa wajinga na werevu afu ile 10% ni ile ya werevu wanaojua nini kifanyike kwa hatma ya nchi yao.

Sasa CCM huwa inacheza na sisi 80%.
Kabisa
 
Tatizo la nyie Tz mnakimbilia kulaumu CCM kwa kuwa President Mama Samia ni CCM.
Majanga ulimwenguni hayana Chama say meli kuzama,ndege kuanguka ,mafuriko,ukame nk ni majanga hivyo Chadema kutoka tamko ni hisia na itikadi zao katika kutoka elekezo kwa Serikali.Chadema ni komavu wanatoa nini kifanyike.Muhimili wa Serikali ni jitu kubwa linalomeza mitandao yote usio wajua wamo Serikalini uwe Chadema wakristo nk
 
Back
Top Bottom