Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,351
- 1,282
Michongo gani tena hiyo?
Dogo anaonekana kuwa ni fighter .
TIMUAwanajamvi napenda kuwasalimu kwa jina la jamuhuri. Na niwatakieni mapumziko mema.
Wakuu kuna dogo kaja dodoma hapa yuko udom hapo anasoma tumempa hifadhi ghetto hapa. Ila vitabia vyake vinaenda kutushinda na tumefikiria kumtimua baada ya kumuonya sana ni hivi tuna kaofisi hapa ambako kanatusaidia kusogeza siku sasa dogo akitoka chuo anakuja tunashinda nae hapa sasa dogo anakatabia ka kumzunguka mtu unaongea na mteja badae na yeye anaenda ongea nae unashangaa dogo ndio anachukua kazi nikitoka kidogo ukirudi unakuta kapatania kazi yako pesa kachukua sasa tumemuonya mara kibao hasikii anafanya kama makusudi. Huyu mwenzangu alitaka mtimua kitambo nikawa namwambia amwache tuone kama ata jirekebisha lakini naona kijana ndio kwanza anakuja kwa kasi ya 5g sasa uvumilivu umetushindwa kweli dogo namuonea imani ila ni kichwa ngumu. Maana mimi binafsi nishapitia msoto Tanga huko nikapewa hifadhi na mshikaji so naelewa venye wanaume tunatakiwa tuishi ila huyu dogo ataturudisha kwenye dhiki anamambo mengi ya ovyo kama kuchukua mademu wa washikaji n.k ila hayo yanavumilika maana unaona kabisa ni balehe inamsumbua ila hadi huku kwenye pesa waungwana. Kwani tukimwambia aondoke tutakua tumekosea wakuu.
Kwa kuwa wewe walikuvumilia huko Tanga. Ukaamua kutoka moyoni usimfukuze basi kaa naye hata kama wenzako wakitaka muondoke ondoka naye mkaishi. Huo ndiyo upendo wa kweliWanajamvi napenda kuwasalimu kwa jina la jamuhuri, na niwatakieni mapumziko mema.
Wakuu kuna dogo kaja Dodoma hapa yuko UDOM hapo anasoma tumempa hifadhi ghetto hapa. Ila vitabia vyake vinaenda kutushinda na tumefikiria kumtimua baada ya kumuonya sana ni hivi tuna kaofisi hapa ambako kanatusaidia kusogeza siku sasa dogo akitoka chuo anakuja tunashinda nae hapa sasa dogo anakatabia ka kumzunguka mtu unaongea na mteja badae na yeye anaenda ongea nae unashangaa dogo ndio anachukua kazi nikitoka kidogo ukirudi unakuta kapatania kazi yako pesa kachukua sasa tumemuonya mara kibao hasikii anafanya kama makusudi.
Huyu mwenzangu alitaka mtimua kitambo nikawa namwambia amwache tuone kama atajirekebisha lakini naona kijana ndio kwanza anakuja kwa kasi ya 5g sasa uvumilivu umetushindwa kweli dogo namuonea imani ila ni kichwa ngumu. Maana mimi binafsi nishapitia msoto Tanga huko nikapewa hifadhi na mshikaji so naelewa venye wanaume tunatakiwa tuishi ila huyu dogo ataturudisha kwenye dhiki.
Anamambo mengi ya ovyo kama kuchukua mademu wa washikaji n.k ila hayo yanavumilika maana unaona kabisa ni balehe inamsumbua ila hadi huku kwenye pesa waungwana.
Kwani tukimwambia aondoke tutakua tumekosea wakuu?
kama mmeshamuonya na amekomaza shingo,MKIMTIMUA HATA MUNGU ATAWAELEWAWanajamvi napenda kuwasalimu kwa jina la jamuhuri, na niwatakieni mapumziko mema.
Wakuu kuna dogo kaja Dodoma hapa yuko UDOM hapo anasoma tumempa hifadhi ghetto hapa. Ila vitabia vyake vinaenda kutushinda na tumefikiria kumtimua baada ya kumuonya sana ni hivi tuna kaofisi hapa ambako kanatusaidia kusogeza siku sasa dogo akitoka chuo anakuja tunashinda nae hapa sasa dogo anakatabia ka kumzunguka mtu unaongea na mteja badae na yeye anaenda ongea nae unashangaa dogo ndio anachukua kazi nikitoka kidogo ukirudi unakuta kapatania kazi yako pesa kachukua sasa tumemuonya mara kibao hasikii anafanya kama makusudi.
Huyu mwenzangu alitaka mtimua kitambo nikawa namwambia amwache tuone kama atajirekebisha lakini naona kijana ndio kwanza anakuja kwa kasi ya 5g sasa uvumilivu umetushindwa kweli dogo namuonea imani ila ni kichwa ngumu. Maana mimi binafsi nishapitia msoto Tanga huko nikapewa hifadhi na mshikaji so naelewa venye wanaume tunatakiwa tuishi ila huyu dogo ataturudisha kwenye dhiki.
Anamambo mengi ya ovyo kama kuchukua mademu wa washikaji n.k ila hayo yanavumilika maana unaona kabisa ni balehe inamsumbua ila hadi huku kwenye pesa waungwana.
Kwani tukimwambia aondoke tutakua tumekosea wakuu?
kama mmeshamuonya na amekomaza shingo,MKIMTIMUA HATA MUNGU ATAWAELWA
Ahahahahaha hapana kaka sijawahi fanya kazi TTCL, ila kwenye moja ya makampuni ya simu lakini si TTCL.Boss wa TTCL nakuona
Mmmmh mlongo tabia he yabwina yeni,kama mmeshamuonya na amekomaza shingo,MKIMTIMUA HATA MUNGU ATAWAELWA
Hapo mchongo ni kachukua demu either way huyo mskaji au wako hayo masuala ya kuzungukana kwenye kazi geresha tu, jamaa kiwembe atawatombea Sana mademu wenu
Ahahahahaha hapana kaka sijawahi fanya kazi TTCL, ila kwenye moja ya makampuni ya simu lakini si TTCL.