Kijana utajipanga hadi lini ndio uoe?

Kijana utajipanga hadi lini ndio uoe?

Hebu fafanua kidogo tuone mkuu

Yaan ulale na kipochi manyoa Kila siku afu uweze kuzujizuia...!?
Usilale nacho karibu ni hatari...ingia google soma kuhusu platonic love au socrate au sigmund freud kuhusu no fap
 
Unaweza ukafanya hivyo ukajikuta umechelewa kuoa mwisho wa siku huko mbeleni unakua na watoto wanaohitaji kusomeshwa huku mambo yako bado hayajasimama
Ni kweli lakini kumbuka ujumbe hapo juu utazaa huku huna kipato kizuri nikuendeleza kizazi cha hovyo chenye kwashiorkoo, kiujumla kizazi tegemezi
 
1.maarifa or elimu
2.tafuta hela nakua na miradi
3.jiendeleze ili no 2 izalishe zaidi
4.kula bata
5.kuoa iwe option tena sikuoa unakua nahawara tu wasichana wa sikuhizi ukimuweka ndani tu hata vyombo utaosha
 
Back
Top Bottom