Bei Rahisi Stationary
Member
- Jul 28, 2026
- 38
- 74
Mtoto wa kike unataka kuolewa na Mwanaume tajiri.
Bahati mbaya huna elimu, huna pesa, unatokea familia ya kimaskini, huna Shughuli ya kukuingizia kipato wala ajira.
Basi kitakacho kuokoa ni bikira na uzuri pekee yake.
Usipokuwa na hivyo sahau kuwa na mwanaume tajiri.