Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Tukishamaliza kuwapa somo hawa kausha damu na wakalielewa basi tutaoa
Mimi najua lugha za ishara tu kwa ifasaha.Una jua lugha ipi??, Au kispaniola 😃🤣
Una tatizo la kiafya mkuu??Mimi najua lugha za ishara tu kwa ifasaha.
Ndiyo Mkuu, Macho yanawasha ni mekundu na yanatoa machozi.Una tatizo la kiafya mkuu??
Hiyo hali ime Anza siku hizi za karibuni ??, Maana nili ona tangazo la ugonjwa huo.Ndiyo Mkuu, Macho yanawasha ni mekundu na yanatoa machozi.
Jana tu.Hiyo hali ime Anza siku hizi za karibuni ??, Maana nili ona tangazo la ugonjwa huo.
Huo ni ugonjwa Ume tangazwa mkuu, fanya kutafuta tiba kwa haraka.Jana tu.
Ngoja nilishughulikie Mkuu, Shukran.Huo ni ugonjwa Ume tangazwa mkuu, fanya kutafuta tiba kwa haraka.
👉Tena una wapata watoto zaidi.