proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,849
- Thread starter
- #41
Kama umesoma na ukaelewa hakuna kukueleza zaidi, ama kama hujaelewa niambieToa suluhisho/ushauri la kufanya Sasa, sio unatufokea tu.
Kama umesoma na ukaelewa hakuna kukueleza zaidi, ama kama hujaelewa niambieToa suluhisho/ushauri la kufanya Sasa, sio unatufokea tu.
kwa nn umewazaNilikuwa nawaza hili hasa hapo pa kuendeleza kizazi cha umaskini.
KweliKuzaa watoto wengi na huna hela ni kuzalisha watu maskini kwa kasi
Ogopa kaswende follow no fapKm mbususu mtaan tunazipata za kutosha Tena cku hz tunauziwa hvyo hkn kujieleza sana au kutongoza n ww tu Hela Yako ..alafu nioe nigundue nn
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huna hata hayo mapumbu yamesinyaa vimechoka hadi vinadondoka vyenyewe . Halafu unasura mbaya bora mie najijua wewe hujijui kama unasura mbaya
Nafuu umenisaidia kuna watu wakoje sijui, huo ni umaskini hadi kny maandishihapo hujaelewa kipi mkuu?
Mbona utatuzi upowazi tu kulingana na andiko la mtoa mada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Day we jomba[emoji1787][emoji23]
usikute kweli eeJamani kha! Sasa pumbu zangu umezionaje jamani
hahaha ngoja dronedrake ajeUzi mzuri kabisa...Ngoja mechi ya Arsenal iishe nirudi .
Majukumu tunayaweza sema ni kuepuka kuishi kwa mazoea kwani wewe ulisoma kwa shida na mwanao asome kwa shida?Kukataa kuoa niuoga wa majukumu, mwanaume kamili hawezi kuogopa majukumu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mkuu mambo ya Ase nini sijui [emoji19] umu yanaingiaje [emoji57] ulishindwa kusema uangalie mpira uishe utarud
Unaweza ukafanya hivyo ukajikuta umechelewa kuoa mwisho wa siku huko mbeleni unakua na watoto wanaohitaji kusomeshwa huku mambo yako bado hayajasimamaMajukumu tunayaweza sema ni kuepuka kuishi kwa mazoea kwani wewe ulisoma kwa shida na mwanao asome kwa shida?
Mama: Kijana Umekua oa Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu fafanua kidogo tuone mkuuNo fap hata kama umeoa unapractise
kuna kitu ulitaka ukiseme vizuri ila bado hujamalizaKwa life style yetu hakika kuhudumia familia ni mtihani wa hatari, kipato nlichokua nnatamani enzi nnamaliza Chuo Kikuu nimekipata zaidi ya mara 3 lkn cha ajabu akiba haijai, yaan enzi zile nilihisi nikiwa na hiko kipato ntaishi maisha ya kitajiri na kusaidia walionizunguka na nlipoanza kupata kama mara 2 yake nikaanza kujitutumua kusaidia kila mtu mwisho nkaishi kwa stress kali, sahii kimefika zaidi ya mara 3 na bado mambo nnaona mazito. Jamani kuoa ni Ibada ila inahitajia mtu kujipanga sio kwa makuu ila uwe japo na misingi Imara maana kulea ndoa si lelemama
kwa nn mkuuUbatili mtupu ubatili mtupu ubatili mtupu