co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
- Thread starter
- #21
Unataka kusema jamaa hata tomb* hadi leo[emoji23]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kimoja tu halafu aendelei tena
Unataka kusema jamaa hata tomb* hadi leo[emoji23]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Huyu sio wewe kweli maana naona kila swali unajibu[emoji1787]Kimoja tu halafu aendelei tena
Kufanya ngono na mwanaume haimaanishi anakupenda,Wanaume walivyo utashangaa anasema yupoyupo simpendi ila baada ya wiki kadhaa unaona bidadada anapata kichefuchefu
Hahaha! Sasa ulale na mwanaume unategemea nini? Kitanda kimoja kila siku,asipokugusa utamuona anamatatizo huyo mwanaume! Maana lile tendo ni kwa ajili ya wote sio la mmoja tuYaani hata ule mlango hawatauona haki
Ni Sahihi kabisa!Mwanamke anaweza kukutana na mtu asiye mpenda na akaja kumoenda baadae lakini kwa wanaume ni ngumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Wanaume walivyo utashangaa anasema yupoyupo simpendi ila baada ya wiki kadhaa unaona bidadada anapata kichefuchefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatakiwi kumwekea vijiti anatakiwa asimguse kabisa....kama ana mpango wa kumrudisha na afanye hivyo sasa aache use.nge. Kabinti ka watu ukute kalikuwa ka bikra maskini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiihSikuhizi hata waliotafuta wenyewe wanahangaika nafikiri dunia Kuna mahali imebinuka sio kwa Mambo haya yanayotupata!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo jamaa kauziwa mbuzi kwenye gunia?
Ila duniani kuna watu wazembe sana. Huyo jamaa ni mmoja wao. Hapo hamna namna ampikie masotojo masaptasapta na marotarota manzi atavuta room tu.
Kweli kabisaaa.Mwanamke anaweza kukutana na mtu asiye mpenda na akaja kumoenda baadae lakini kwa wanaume ni ngumu
[emoji38][emoji38] jamaa anatuzugaHuyu sio wewe kweli maana naona kila swali unajibu[emoji1787]