Habari za asibuhi!
Napenda kuwaasa vijana wenzangu kuwa Dar es salaam si mahali pa kusaka maisha kichwa kichwa, kwamba utafute nauli tu na kusema unakuja dar kwa mjomba, Dada, kaka, rafiki n.k kutafuta maisha.
Huku wengi ni wapangaji, tena wamepanga kwenye mazingira hatarishi(machafu), wengi hugombania daladala, jioni mkitoka kazini hubanana kwenye magari kama ng'ombe wanapelekwa mnadani.
Wengi ni vibarua, watumwa wa Wahindi na Wachina. Wengi hulipwa 100,000- 150,000 tshs. Wengine laki na nusu -laki tatu, hao ndo huonekana wana unafuu.
Wengi hula Milo 2 tu kwa siku.
Msivutiwe na picha wanazopost fb, Dar nguo ni kama bure, wengi hununua sabufa, sofa siti 2 au 3 tu na TV hapo ndo anasema kayapatia.
Ni heri ukomae huko home, ujenge hata kibanda chako. Huku utageuzwa mtumwa, ndugu wengi wana roho mbaya, hii sijui inasababishwa na nini?
Kazi ambayo ni rahisi kuipata Dar ni ulinzi, kazi ambayo ni ya kinyonyaji na hatarishi.
Miye mjomba wangu yangu aje mjini mpaka leo anakaa gheto, maisha yake ya ujanja ujanja tu miwani mikubwa kanyoa panki kuchomekea na kuvaa macheni shingoni na Pete tangu tupo darasa la kwanza mjomba maisha yake ya ujanja ujanja tu mpaka tunamaliza shule mjomba bado anamtegemea Dada yake mama yetu kiufupi simuelewagi uncle
Uncle kuoa ataki, kurudi shamba tanga ataki yani yeye usela tu kakomaa nao mjini
Nimevuta picha jins mjomba wako alivo. Atakua anafanana na wale wenyeji wa manzese pale mda wote mapete vidoleni,machen shngon na bagharashia kichwaniMiye mjomba wangu yangu aje mjini mpaka leo anakaa gheto, maisha yake ya ujanja ujanja tu miwani mikubwa kanyoa panki kuchomekea na kuvaa macheni shingoni na Pete tangu tupo darasa la kwanza mjomba maisha yake ya ujanja ujanja tu mpaka tunamaliza shule mjomba bado anamtegemea Dada yake mama yetu kiufupi simuelewagi uncle
Uncle kuoa ataki, kurudi shamba tanga ataki yani yeye usela tu kakomaa nao mjini
Karibu mzee bila shaka umekuja na mtaji mjini.Nasoma huu uzi nikiwa ndani ya DAR LUX (way to DSM)
mnipokee wakuu naja kutafuta maisha
Asanteni
Naam mkuu,niko na kidogo naamin kitasaidiaKaribu mzee bila shaka umekuja na mtaji mjini.
Kama sio hvyo jiandae kisaikolojia kuwa mwanaume.
🙏🙏Naam mkuu,niko na kidogo naamin kitasaidia
Karibu sana.Nasoma huu uzi nikiwa ndani ya DAR LUX (way to DSM)
mnipokee wakuu naja kutafuta maisha
Asanteni