CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,869
- 16,014
Ndoa sio draft mkuu useme ukikosea utapangua kete. Chukua ushauri huo.2022 bado turudi vijijini kuoa??tuko mbali sana..bwana tutaoa tunaowaona STOP
Ndoa sio draft mkuu useme ukikosea utapangua kete. Chukua ushauri huo.2022 bado turudi vijijini kuoa??tuko mbali sana..bwana tutaoa tunaowaona STOP
Wakristo bhna yni nyie mpo na Dunia tuu wakati watu wanakufa kila siku nikuulize izo mali utazikwa nazo?Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.
Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!
Utachekewa mno kwa Mara ya kwanza, utasema mke si ndo huyu? Itakuwa ni uzushi tu, mbona huyu ameokoka? Anakusubiri mpate Mali baada ya kuona una uelekeo au dalili za kufanikiwa mbeleni, mkishazipata tu kwa heri. Narudia, hata akiwa shemasi usioe.
KAMA MAMA ANAUWAWA KWA SBB YA MALI , WEWE NI NANI USIUWAWE?Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.
Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!
Utachekewa mno kwa Mara ya kwanza, utasema mke si ndo huyu? Itakuwa ni uzushi tu, mbona huyu ameokoka? Anakusubiri mpate Mali baada ya kuona una uelekeo au dalili za kufanikiwa mbeleni, mkishazipata tu kwa heri. Narudia, hata akiwa shemasi usioe.
Ooooooh! Sikuwahi kujua hili, je, kama mama yake yupo hai?Kuoa ni vile tu mmependana kwa dhati, WAMACHAME (WAPALESTINA) wanaolewa ila kwa sharti kuu moja, iwe amefiwa na mama yake au amelelewa na BABA YAKE.
Sio waache waoane kaka, hata wao wanauana yaani!Sio siri wapelestina hata mimi nawagwaya sana aisee. Wanaume wa kule ni wenye huruma kuliko wanawake.
Waache waoane.
Usioe, USIoe, USIOe, USIOE, USIOEEEEEEEEEE.Ooooooh! Sikuwahi kujua hili, je, kama mama yake yupo hai?
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
AiseeUnachosema chaweza kuwa kweli. Mana wako waerevu Sana Kama nyoka kumnasa mwanaume. Wakiwa hawajaolewa wanajua mwanaume anavutiwa na Nini so anategwa kinyama mpaka anaingia king mkuu Ila sasa subiria uone Kama watazeekeana pamoja.
Yaani atakusaidia kuzisaka noti Ila anakuwazia uchukue mafao ama ustaafu tu mafaao atafuatilia yeye.
Wanawake wa kichaga ni wajanja sijakataa.yaani utamkuta ama akili ya maisha , kasoma ama anafanya biashara anaingiza kipato. Maongezi yake ni mazuri Mana yanavutia ya kiutafutaji kumbe ni mbinu ili unase tu.kumbuka nyoka ni mwerevu Sana ama na lugha ya kuvutia mtu atende dhambi.
Kwa ilo sijawakatalia Ila fanya research kwa waliolewa Sasa uzeeni kukoje.
Je Kuna familia ngapi za wamama wa kichaga ambazo wanaishi na waume zao hata Wana wajukuu.
Hili mie nitaongea hata uchukue.
Nenda pale USA river nyumba nyingi Sana karibia mtaa mzima Kuna akina mama ndo wamiliki.
Ninarudia ivi mabinti hao ni wajanja Sana katika kunasa wanaume mkuu.mie kidogo niangukie kwao nikiwa chuoni.sema nilikupigia tu afu nikaenda home kuoa.
Mana kuoa sio kuwa ni mauzo nionekane Bali inabidi nichukue mtu ambaye najua Koo yake yaani dna za kizazi chake kinajulikana mpaka Cha tano huko ukim trace.
Sasa mie nakutana na mtu mjini hata sijui history ya babu wa babu yake yukoje.
Mana unaleta mtu katika ukoo wenu.
Pia maisha sio kuwa ni pesa yapo mengi Sana zaidi ya pesa.
HahahSasa mwamba asubuhi yotee ile yaani alfajiri Anatoa povuuu
Nani alimtuma kuoa?
#YNWA
Wambie haoNdugu Zangu Oeni
Unaoa ili iweje na huku unatakiwa utoe mahari ya milioni 5. Nitaendelea kuwatembelea wale wa buku beeNi alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.
Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!
Utachekewa mno kwa Mara ya kwanza, utasema mke si ndo huyu? Itakuwa ni uzushi tu, mbona huyu ameokoka? Anakusubiri mpate Mali baada ya kuona una uelekeo au dalili za kufanikiwa mbeleni, mkishazipata tu kwa heri. Narudia, hata akiwa shemasi usioe.
Kumbe hii mimama ya qi churgger ni mi s# n# g# e kiasi hiki? *****Mara nyingi WACHAGA WAKO INFLUENCED na mama zao, wakienda kwao mama zao huwashika masikio na kuwalaumu kwann hawajajenga kwao, hawana mali, angalia majirani zako wana mali wewe umekaa kaa tu nk nk. Na mara nyingi hawa huwa single mothers yaan waume zao walishafariki hivyo kupelekea hata watoto wao kuona kuishi bila mume ni kitu cha kawaida hivyo kukuua ni kawaida tu.
Kwa hali hii, ikiwa amelelewa na BABA yake ni ngumu sana kutamani mumewe afe maana anaona umuhimu wa kuwa na baba kwa watoto wake, lkn pia anajifunza utafutaji bila dhuluma nk.
Mimi nimeoa mchaga ambaye hana BABA wala MAMA hivyo namcontrol kirahisi sana, maana shangazi au wajomba hawawezi mpangia maisha yake.
Pole, share kidogo tafadhali, ni mkazi wa wapi huyo?Na mimi nagongomelezea hapa, VIJANA OENI KWENU. Mimi nilioa mwanamke ambae alikua classmate wangu chuo nikadhani nimemjua vizuri kumbe watu wanaweza pretend hata miaka mia.... yaliyonikuta sina hamu kabisa.
Kuwa na michepuko si u smart ni udhaifu huoSijaoa Mchagga! Kuhusu u-smart ni kweli mimi ni smart na michepuko kama yote.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kama ni mimi vip kuna shida?Samahani mkuu.....
Hiyo Avatar ni wewe?
#YNWA
Bhna ❌Wakristo bhna yni nyie mpo na Dunia tuu wakati watu wanakufa kila siku nikuulize izo mali utazikwa nazo?
Uislamu Pekee ndio ulozungumzia vizuri masuala ya Urithi ndo mna mnaogopa kuoa mbali eti kisa Mali
Haya bhanaK
Kama wewe una miaka chini ya 70,basi Mawazo yako ni ya kizamani sana,na hufai kwenye jamii.
Hayo Mawazo ya kuoa kabila yako ni ya kijinga,siku hizi watoto wanazaliwa mini,mpaka wanakuwa watu wazima hata kijijini kwao hawajawahi kwenda Wala lugha ya nyumbani hawazijuhi!!harafu unataka huyu kijana akitaka kuoa au kuolewa aende mkoani kwao!!??
Kwanza ubaya,na tabia mbaya hazina kabila,mtu yeyote anaweza kuwa mbaya,
Vijana oeni,oleweni bila kuangalia kabila,
Vukeni na mipaka,sasa hv,wake ya,waganda,wazambia,wachina wapo kibao bongo,kamata mmoja weka ndani,acheni kuwa na mawazo ya mwaka 47!!!
Sawa2022 bado turudi vijijini kuoa??tuko mbali sana..bwana tutaoa tunaowaona STOP
Muache usimlazimishe!Ndoa sio draft mkuu useme ukikosea utapangua kete. Chukua ushauri huo.