Kijana ukitaka kuoa, kaoe kwenu

Kijana ukitaka kuoa, kaoe kwenu

mikila miwili

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2021
Posts
563
Reaction score
562
Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.

Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!

Utachekewa mno kwa Mara ya kwanza, utasema mke si ndo huyu? Itakuwa ni uzushi tu, mbona huyu ameokoka? Anakusubiri mpate Mali baada ya kuona una uelekeo au dalili za kufanikiwa mbeleni, mkishazipata tu kwa heri. Narudia, hata akiwa shemasi usioe.
 
Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.

Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper teethed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Polee sanaa braza kwa yaliyokukuta...
Na hizo ndio NDOA ZENU.

#YNWA
 
Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.

Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Angenichinja
 
Labda kwa ajili ya kuongea kilugha chenu pamoja lakin kama ni matatizo ni yaleyale mbona
Vijana wenyewe siku hizi lugha zao za asili wengi hawazijui na Wala hawataki kuzijua, maisha yako kasi sana aisee, unasema uoe mkabila wako mfano muhaya aliyezaliwa na kukulia mkoa mwingine, (dodoma) huyo sio muhaya Ni mgogo ambae wazazi wake ni wahaya,
 
Back
Top Bottom