Kijana ukitaka kuoa, kaoe kwenu

Kijana ukitaka kuoa, kaoe kwenu

Utakuwa umefanya ujinga akakunyoosha Sasa unalia lia humu jf. Wewe mwanaume ka ni mzembe na dhaifu hafu hauko smart usiwaoe na ukioa kweli huwa makini usijifamye mjanja na una mchepuko maana lazima ushushiwe kitu kizito kichwani
 
Sema wachaga wanapigwa sana vita nchi hii....sijui wanajisikiaje.


Anyway labda wajaribu kubadilika kama jamii
Ni humu JF tu, ila mtaani wanaongoza hata kwenye maharusi ndio wanaolewa sana, nenda kaangalie page za Instagram uone mambo, humu watu wawaponda ila wamewaoa, humu jf usianini kila kitu, pia huyu mleta mada kaketa one sided story hajaelezea mapungufu yake
 
Utakuwa umefanya ujinga akakunyoosha Sasa unalia lia humu jf. Wewe mwanaume ka ni mzembe na dhaifu hafu hauko smart usiwaoe na ukioa kweli huwa makini usijifamye mjanja na una mchepuko maana lazima ushushiwe kitu kizito kichwani
Sijaoa Mchagga! Kuhusu u-smart ni kweli mimi ni smart na michepuko kama yote.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Okay, wasiseme hawakuambiwa. Watu hatutaki lawama.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app

Kuna mshkaji tangu anunue gari kabanwa hana hata hamu ya gari lenyewe....kila kazi anatumwa: kupeleka watoto shule na kuwafuata, kupeleka chaga girl kazin na kumfuata, kupeleka watoto sunday school na mafundisho kanisani, kupeleka chaga girl kwenye vikoba vyote na sokoni na kuratibu mapokez ya ndugu wa mke ambao nao wanaingia na kutoka pale karibu kila siku....kijana kabanwa!!

Sometimes tunakutana na jamaa tupate mbili tatu moja moto moja baridi ile anagusa bia tu unashangaa anachomoka kwa kasi ya ajabu kumbr kaitwa na wife amkimbize mahali flani...heheh
 
Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru.
Kwani Wanyaturu wana shida gani mbona unawakandia hivi mkuu? Jamaa yangu kaoa Mnyaturu na wanaishi vizuri tu, hakuna shida.
 
Back
Top Bottom