KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,515
- 89,009
Kuwa serious alegee nani mimi au wewe..?😂Mi sio mpalestina Tena ushindwe na ulegee
Kuwa serious alegee nani mimi au wewe..?😂Mi sio mpalestina Tena ushindwe na ulegee
WeweKuwa serious alegee nani mimi au wewe..?😂
Your not serious kenzy siwezi kulegea tena hiyo tabia ya kuwalegeza wanaume ife leo utapata dhambi mimi nakemea tabia yako hiyo nasema. Fire fire fireeeeee baba uwa vunja baba shika huyu manzi kaba shingo baba piga mabanzi ya shingo baba fireeeeee.Wewe
😲😲😲Tuiiteje hii,, kupatwa kwa kenzyYour not serious kenzy siwezi kulegea tena hiyo tabia ya kuwalegeza wanaume ife leo utapata dhambi mimi nakemea tabia yako hiyo nasema. Fire fire fireeeeee baba uwa vunja baba shika huyu manzi kaba shingo baba piga mabanzi ya shingo baba fireeeeee.
Hayo ni maombi😲😲😲Tuiiteje hii,, kupatwa kwa kenzy
Una ujumbe lakini hawatauelewa.Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.
Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!
Utachekewa mno kwa Mara ya kwanza, utasema mke si ndo huyu? Itakuwa ni uzushi tu, mbona huyu ameokoka? Anakusubiri mpate Mali baada ya kuona una uelekeo au dalili za kufanikiwa mbeleni, mkishazipata tu kwa heri. Narudia, hata akiwa shemasi usioe.
Acha kutaka kumshika masikio kijana wa watu . Kwa kumuaminisha kuwa kung'ang'ana na kimwanamke kimoja ndio ujanjaWewe ni smart una michepuko kama yote usmart na michepuko wapi na wapi!!!!!
Ajabu kubwa hii.
kabla hamjamzika mnagawana kwanza mali zake zote 😂😂Siku nyingine usiniitage wakati nakunywa K Vant na Kitimoto....
Sasa kama kawekewa sumu si akufe tumzike?
Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.
Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!
Utachekewa mno kwa Mara ya kwanza, utasema mke si ndo huyu? Itakuwa ni uzushi tu, mbona huyu ameokoka? Anakusubiri mpate Mali baada ya kuona una uelekeo au dalili za kufanikiwa mbeleni, mkishazipata tu kwa heri. Narudia, hata akiwa shemasi usioe.
Unachosema chaweza kuwa kweli. Mana wako waerevu Sana Kama nyoka kumnasa mwanaume. Wakiwa hawajaolewa wanajua mwanaume anavutiwa na Nini so anategwa kinyama mpaka anaingia king mkuu Ila sasa subiria uone Kama watazeekeana pamoja.
Yaani atakusaidia kuzisaka noti Ila anakuwazia uchukue mafao ama ustaafu tu mafaao atafuatilia yeye.
Wanawake wa kichaga ni wajanja sijakataa.yaani utamkuta ama akili ya maisha , kasoma ama anafanya biashara anaingiza kipato. Maongezi yake ni mazuri Mana yanavutia ya kiutafutaji kumbe ni mbinu ili unase tu.kumbuka nyoka ni mwerevu Sana ama na lugha ya kuvutia mtu atende dhambi.
Kwa ilo sijawakatalia Ila fanya research kwa waliolewa Sasa uzeeni kukoje.
Je Kuna familia ngapi za wamama wa kichaga ambazo wanaishi na waume zao hata Wana wajukuu.
Hili mie nitaongea hata uchukue.
Nenda pale USA river nyumba nyingi Sana karibia mtaa mzima Kuna akina mama ndo wamiliki.
Ninarudia ivi mabinti hao ni wajanja Sana katika kunasa wanaume mkuu.mie kidogo niangukie kwao nikiwa chuoni.sema nilikupigia tu afu nikaenda home kuoa.
Mana kuoa sio kuwa ni mauzo nionekane Bali inabidi nichukue mtu ambaye najua Koo yake yaani dna za kizazi chake kinajulikana mpaka Cha tano huko ukim trace.
Sasa mie nakutana na mtu mjini hata sijui history ya babu wa babu yake yukoje.
Mana unaleta mtu katika ukoo wenu.
Pia maisha sio kuwa ni pesa yapo mengi Sana zaidi ya pesa.
Kwa sababu wajinga ni wengi werevu tupo wachache, tunajaribu kuwasanua walio wengi.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kwa wengine mna generalize mkuu Ila kwenu mkuki unachoma.Nachosema pamoja na nyie kuwananga bado wanaolewa kila kukicha, ifikie mahali tuache ku generalize tabia ya mtu mmoja na kuihusisha na jamii nzima. Hiyo siyo sawa
Ushamba tu, hao wanaoshukuru ni washamba na mafukara tuPole uliangukia pabaya inuka ukajipange tena vyema mkuu. wakati wewe ukilia kuna wenzio wanamshukuru Mungu kupata wenza kutoka eneo hilo
Pole mnoUshamba tu, hao wanaoshukuru ni washamba na mafukara tu
Pole ni kwako mkuu!Pole mno
Kwa nini kaka?Kuna hawa wanaitwa wambulu hata bure sichukui
Afadhali mninyonge tu