BravoZulu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2021
- 1,824
- 3,765
Nshakuwa na demu wa hivo na mbaya zaidi nilimpenda😩😩yule manzi nlimfaidi kwa sababu tulikuw tunaishi karibu ya ilikuwa ni kuchakata tu tukipita kwenye mjengo hivi kagiza nachakata tu😎😎ila sasa nkajaga kujua ana wahuni wengi yani anagawa gawa tu🙁🙁dada ake nae kaolewa lakini ni anachakatwa ile ileKwa nini kaka?