Kijana ukitaka kuoa, kaoe kwenu

Kijana ukitaka kuoa, kaoe kwenu

Tunatishana Sana Oops Vigogo Wafa Vigogo Wapukutika
Ni Uzushi Mtupu.
By Mzilankende Mnyago
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mzilankende mnyago ni jina lake halisi kweli au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ni alfajiri chungu mno, nawakumbusha nyie vijana ambao bado hamjaoa, mkitaka kuoa oeni kwenu, nyie mnaosoma vyuo mkitaka kuoa oeni mikoa ya kwenu.

Note: TAFADHALI USIOE BINTI WA KIPALESTINA(Copper toothed) hata kama anajifanya ni mlokole kiasi gani, utakuja kunishukuru. Yaani hata akiwa anafunga mara kumi kwa mwezi usioe. Pleaseeeeee, tafadhaliii ewe kijana wangu!

Utachekewa mno kwa Mara ya kwanza, utasema mke si ndo huyu? Itakuwa ni uzushi tu, mbona huyu ameokoka? Anakusubiri mpate Mali baada ya kuona una uelekeo au dalili za kufanikiwa mbeleni, mkishazipata tu kwa heri. Narudia, hata akiwa shemasi usioe.
Naunga mkono hoja mia kwa mia!
Hawafai hata kuota umewaoa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mzilankende mnyago ni jina lake halisi kweli au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Akiwa Kayanga Karagwe Jiwe Anajiita Mzilankende Mnyago
Akiwa Chettle, Sengerema, Mwanza Anajiita Ngosha Chapa Ng'ombe
Hayo Yote Majina Yake
 
𝐇𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚, 𝐤𝐢𝐥𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐭𝐚 𝐦𝐦𝐦𝐦𝐦𝐡, 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐮𝐣𝐮𝐢, 𝐢𝐥𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐥𝐨𝐥𝐢𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐬𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐬𝐚𝐢𝐤𝐥𝐨𝐣𝐢𝐚 𝐦𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚
 
𝐇𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚, 𝐤𝐢𝐥𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐭𝐚 𝐦𝐦𝐦𝐦𝐦𝐡, 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐮𝐣𝐮𝐢, 𝐢𝐥𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐥𝐨𝐥𝐢𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐰𝐚𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐬𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐬𝐚𝐢𝐤𝐥𝐨𝐣𝐢𝐚 𝐦𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚
Hahahah
 
Bhna [emoji777]
Yni [emoji777]
Izo [emoji777]
Tuu [emoji777]
Ndo [emoji777]
Ulozungumzia [emoji777]

Kwanza kajifunze kuandika maana unaonekana huna akili hata kidogo.
Pili , hii thread mambo ya dini yameingiaje?. Thread imeongelea mambo ya kuoa kwenu wewe unaleta udini .

Tupitishe mchango tukununulie akili.
Sikulaumu mana ndo uwezo wako huo darasa la 7 B
 
Haya tukishauri vijana msioe mnatuona kama tunaimba mapambio...

Pole ndio kitu pekee naweza kukupa..

Ila nashauri usiende KUOA,,,hata awe wa kwenu USIOE..,,,utakuja kulia lia hapa

Thank me later
 
Kuna mshkaji tangu anunue gari kabanwa hana hata hamu ya gari lenyewe....kila kazi anatumwa: kupeleka watoto shule na kuwafuata, kupeleka chaga girl kazin na kumfuata, kupeleka watoto sunday school na mafundisho kanisani, kupeleka chaga girl kwenye vikoba vyote na sokoni na kuratibu mapokez ya ndugu wa mke ambao nao wanaingia na kutoka pale karibu kila siku....kijana kabanwa!!

Sometimes tunakutana na jamaa tupate mbili tatu moja moto moja baridi ile anagusa bia tu unashangaa anachomoka kwa kasi ya ajabu kumbr kaitwa na wife amkimbize mahali flani...heheh
Mkewe kamfanya house boy Sasa,, acha akome lakini kupanga Ni kuchagua
 
Mara nyingi WACHAGA WAKO INFLUENCED na mama zao, wakienda kwao mama zao huwashika masikio na kuwalaumu kwann hawajajenga kwao, hawana mali, angalia majirani zako wana mali wewe umekaa kaa tu nk nk. Na mara nyingi hawa huwa single mothers yaan waume zao walishafariki hivyo kupelekea hata watoto wao kuona kuishi bila mume ni kitu cha kawaida hivyo kukuua ni kawaida tu.

Kwa hali hii, ikiwa amelelewa na BABA yake ni ngumu sana kutamani mumewe afe maana anaona umuhimu wa kuwa na baba kwa watoto wake, lkn pia anajifunza utafutaji bila dhuluma nk.

Mimi nimeoa mchaga ambaye hana BABA wala MAMA hivyo namcontrol kirahisi sana, maana shangazi au wajomba hawawezi mpangia maisha yake.
Subiri uchukue mafao uone mtanange
 
Subiri uchukue mafao uone mtanange
Hana meno, nishamuwekea mazingira mazuri sana na kubwa alibadili dini ni Muislam, anaijua Dini sana sana. Na kama ujuavyo waislam wakibobea kwenye dini huwa na huruma, wema sana.
 
Back
Top Bottom